Paris inawaka moto...

Paris inawaka moto...

Ulaya ni ulaya tu, historia ya elimu yao na kustaarabika inawafanya wawe hivyo.
 
Na hivi anahamasisha Ulaya/Nato ijitegemee /isiitegemee USA kihiivyo usikute USA wameshafanya yao kwny hayo maandamano.
Nami nakua na hisia sana na hili hasa ile kauli ya juzi ya Macron alivyosema...ulaya inahitaji iwe na jeshi lake, huku pakawa na vijembe na mzee wa washington napata mashaka kidogo
 
Nami nakua na hisia sana na hili hasa ile kauli ya juzi ya Macron alivyosema...ulaya inahitaji iwe na jeshi lake, huku pakawa na vijembe na mzee wa washington napata mashaka kidogo
Na hisia zako zitakua ndio zenyewe mkuu maana wale jamaa wa Washngton kwa figisu pale ndio kwao.
 
Mkuu, naweza kupata link ya kauli hii ya Trump ya kutaka UK ibaki ndani ya EU !?
Najaribu kuleta link inasumbua ila cheki iyo capt
IMG_20181208_223008.JPG
 
Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.

Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Wahuni wa ccm/viongozi wa Africa walifanikiwa kutengeneza genge kubwa sana la wasomi wapumbavu, ndiyo maana tunakufa na tai shingoni, unatengemea msomi kama Prof Kabudi unatengemea uwe kama mzungu?
 
Marekan washenzi sana

Kisa macron ..anaitaka Ulaya ijiundie jeshi lake.
Ijitegemee ktk mambo yake

Basi wanataka kumuondoa jamaa
 
Ukisoma hiyo interview ya putin utaelewa kuwa putini anapalilia sana Nato ipasuke ikipasuka Nato lazima nato ya ulaya pia itapasuka kuna watakaomua kuendelea kuwa sehemu ya USA kuna watakaomua kujitoa kabisa

Urusi hawezi kuwa rafiki wa kweli wa bara la ulaya, urusi ni adui mkubwa wa ulaya huyu lengo lake ni kuivuruga
Kwahiyo Putin kawapandikiza na kuwashawishi wananchi wa ufaransa waandamane sio
 
Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.

Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Nimecheka san a hiyo comment yako!
 
Back
Top Bottom