Paris inawaka moto...

Paris inawaka moto...

Hata kama putin hausiki moja kwa moja lakini putin ni adui mkuu wa umoja wa ulaya amejaribu kila namna kuudhofisha na anajua kabisa na anajua kabisa ulaya iliyoungana ni hatari kwake

Kwasera ya USA ulaya ni kubaki moja bila kuvunjika ndiyo maana Obama na Trump kwa wakati tofauti wameilaumu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya.

Kwa Urusi ni kuona ulaya na Nato kwa ujumla inasambaratika

Putin hahusiki popote.dogo huyu mbishi sana.trump alikuwa anamshauri vizuri mpaka wakati Fulani wanagombana kutokana na sera mbovu.Sera zake za kuwa globalist zina mkost.trump marekani kwanza ndio maana marekani maisha mtelemko.wanajaribu kumchonganisha trump na wananchi lakini hawafanikiwi.
 
War is a profit bussness ukiangalia biashara inayoongoza duniani ni biashara ya silaha

Nchi zinazouza sana silaha duniani ni USA, Russian, china, uingereza, ujerumani nk

Sasa unafikiri vita vitaisha? Vita huleta utajiri kwa mabwenyenye
WASIMFUATE MMAREKANI KUJISHUGHULISHA NA MIVITA TU, VITA SASAIVI HAVINA MAANA, MARA WANASHAURIWA TUIPIGE SYRIA, MARA UGAIDI SJUI KUIVAMIA LYBIA, NDIO MATOKEO YAKE HAYO SASA KUPANDA KWA GHARAMA ZA LIFE, MAREKANI ANAPOVAMIA HUWAGA ANAIBA SANA ILI KUFIDIA, ALAF MAREKANI AMESHAJINDAA KITAMBO SANA, NCHI ZA ULAYA ZIWE MAKINI HAPA, NAKUMBUKA ATA ITALY ALIWAHI KUONGEA HIZI ISHU
 
Kwa Urusi ni kuona ulaya na Nato kwa ujumla inasambaratika
Hivi Russia angekuwa anataka NATO kusambaratika, je. angeomba kipindi fulani huko nyuma kujiunga na umoja huo ?
Obama na Trump kwa wakati tofauti wameilaumu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya.
Obama alitaka UK ibaki EU wakati Trump alitaka ijitoe.
Donald Trump praises Britain for voting to leave EU | Daily Mail Online
-----
Mkuu unanufaikaje na kupotoshaji huu hapa Jukwaani, tena kwa kuipaka matope Russia bila kutoa ushahidi? Nini lengo lako hasa?
 
War is a profit bussness ukiangalia biashara inayoongoza duniani ni biashara ya silaha

Nchi zinazouza sana silaha duniani ni USA, Russian, china, uingereza, ujerumani nk

Sasa unafikiri vita vitaisha? Vita huleta utajiri kwa mabwenyenye
NDIO MADHARA YAKE HAYO, SO WATATIA AKILI
 
Macron alitaka aunde EU waunde jeshi lao na kujitoa NATO
 
Na hivi anahamasisha Ulaya/Nato ijitegemee /isiitegemee USA kihiivyo usikute USA wameshafanya yao kwny hayo maandamano.
Historia inaonyesha maandamano yote makubwa ya kisiasa na mapinduzi ya kijeshi lazima CIA inahusika kwa namna moja au nyingine
 
Trump alisema hawezi kuingilia maamuzi
Ya ndani kama uingereza kaamua kupiga kura ya kujitoa

Ila siku za karibuni alinukiliwa akisema angependa kuona uingereza iliyo ndani ya ulaya
Mkuu kuwa uptodate sina haja ya kupotosha humu

Hivi Russia angekuwa anataka NATO kusambaratika, je. angeomba kipindi fulani huko nyuma kujiunga na umoja huo ?

Obama alitaka UK ibaki EU wakati Trump alitaka ijitoe.
Donald Trump praises Britain for voting to leave EU | Daily Mail Online
-----
Mkuu unanufaikaje na kupotoshaji huu hapa Jukwaani, tena kwa kuipaka matope Russia bila kutoa ushahidi? Nini lengo lako hasa?
 
Bwana macron " yamemfika yapi tena " mpaka mambo kumchachia !!?
 
Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.

Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Unaogopa kuitaja nchi uliyo karibu nayo umeenda mbali Uganda??
 
Mtu mjinga hawezi kujua haki zake sina kumbukumbu lakini katika historia ya dunia nafikiri ni uchina na ufaransa waliwahi kufanya hivyo kwa kuziondoa serkali za kidkteta
Louis XVI ndio alikua Mfalme wa mwisho ufaransa, 1774-92, alitokea katika ukoo wa Bourbon Monarchs na baada ya kuhukumiwa kifo huyu mfalme ndio Ufaransa wakafanya mapinduzi mnamo mwaka 1789. Aliuliwa kwakukutwa na hatia ya UHAINI. Aliemuua alikua anaitwa Guillotine mnamo mwaka 1793.

Huyu mfalme anajulikana sana kwa kilichomkuta. Ila historia ya China Qin Dynasty inautata kama ya Alexander The Great (Kila mtu anavutia kwa upande wake).

Cha kutafakari, Ufaransa WALIMKATA KICHWA mfalme ambae alikutwa na hatia ya UHAINI. Si jambo jepesi hili.

Uko sawa mkuu,
 
Ndio aliaminiwa na kundi kubwa la vijana ila ameonekana kuwaangusha sana

Ufaransa inapitia kwenye changamoto kubwa za uchumi asipokuwa makini ataondoka wenzetu wazungu hawana utani

Aisee " kweli wenzetu hawataki masihara " huyu si ameingia madarakani juzi juzi tu " tena kwa ahadi tamu tamu za milion 50 kwa kila kijiji " mara hii wananchi wameshamchoka !!
 
Mzungu ni mzungu tu. Hawa watu ni toleo la kwanza kabisa hatuwezi kushindana nao.

Hivi ingekuwa hayo yanafanyika Uganda tungekuwa na marehemu wangapi hadi sasa? Acheni wazungu waitwe wazungu.
Uganda kote uko. Sema hapa hapa ingekuwaje?
 
Mbona msekwa haoneshi uzalendo

Wazee wa ccm wote hawaoneshi uzalendo

Kumbuka wazee wa Leo ndio wale waliokuwa vijana machachali wa enzi zile walifundwa kikamilifu ...... Lakini wanatia aibu!

Sio lazima kufundishwa
Walisha jifunza uchawi mkuu wakipiga hesabu inabidi wawe walivyo ilikujilinda
Na wachawi wenzao!!!
Wanataka kubaki kama walivyo hawataki kurudi nyuma kundi kubwa likiwa na elimu ni ngum kulirubuni lote elimu muhimu Sana kwenye kutengeneza wazalendo!
Ila elimu wakiwa nayo wachache wengi watapata taabu!
 
Back
Top Bottom