Paris inawaka moto...

Paris inawaka moto...

Hoja kuu sio kwamba Macron aondoke japokua wapinzani wanautumia huu mgomo kwa manufaa yao.Nilivyoelewa mimi ni gharama za maisha kupanda licha ya kuwa mishahara ni ile ile(Purchasing power imeshuka).Na kilichochea maandamano ni ongezeko la kodi kwenye diesel kufuatia sera ya serikali ya kutunza mazingira.
 
...mkubwa wa ulaya huyu lengo lake ni kuivuruga
Ulaya yenye vurugu haimfai Russia...Russia nataka Ulaya yenye utulivu. Sababu muhimu ni ya kiuchumi/kibiashara. Russia anawauzia Ulaya nishati/gasi karibu asilimia 30% ya matumizi yote ya Ulaya.

Sasa Russia atakuwa kichaa kweli aamue kuvuruga sehemu anakopatia pesa za kukuza uchumi / yaani avuruge soko la gasi yake. Ndiyo maana Ukraine alipoweka usiku kwenye kupitisha gesi ya Russia kwenda Ulaya...Russia alifanya juu chini kwa kuratibu njia mbadala ya kupitisha gesi yake. Na ameingia Ubia na makampuni ya Ujerumani na nchi nyingine katika lile bomba la kaskazini la gesi. Hivyo, hoja yako ya Russia kuivuruga Ulaya inakosa mashiko, sana sana inaboresha wasiwasi wangu kwako kuwa kwa makusudi unaficha ukweli wa nani hasa anataka kuivuruga Ulaya.

Kuna maswali nimekuuliza haujayajibu. Pentagoni ama Washington walisemaje juu ya kauli ya Macron kuwa na Ulaya iwe na jeshi lake la ulinzi?
 
Ukisoma hiyo interview ya putin utaelewa kuwa putini anapalilia sana Nato ipasuke ikipasuka Nato lazima nato ya ulaya pia itapasuka kuna watakaomua kuendelea kuwa sehemu ya USA kuna watakaomua kujitoa kabisa

Urusi hawezi kuwa rafiki wa kweli wa bara la ulaya, urusi ni adui mkubwa wa ulaya huyu lengo lake ni kuivuruga
Ulikuwa unamaanisha ulaya ni adui mkubwa wa Urusi, well
 
Mkuu huwezi kuwa mzalendo kama hujapata elimu
Uzalendo huanzia kwa kujitambua mtu binafsi kwanza
Sasa waafrika wengi sisi bado wajinga
Africa sijui lini tutafikia kua na UMOJA huo. Burundi hali mbaya, Kenya kashfa za rushwa kila kukicha, Tanzania tunamuachia Zitto aongee. Nigeria tia maji tia maji, mungu saidia. Uganda nchi Rais Yoweri Museven ana HATI MILIKI kabisa. Somalia labda Yesu mtoto wa Maryam ashuke.

Tumekaa kinafiki kinafiki tu ndo maana hatuendelei.
 
Kwa hawa wasio heshimu uhai wa MTU

Kwa hawa wanaoamini wao hawatakufa

Kwa hawa wanaojisahau kuwa walizawa na lazima watakufa siku moja!
But hata sisi tutafika huko kikubwa vijana wasiache kwenda shule
 
But hata sisi tutafika huko kikubwa vijana wasiache kwenda shule

Mkuu ccm wanadunda kwasabab wamewekeza ujinga Sana kwenye elimu

Elimu yetu yakupeana hofu na kukubalishwa ujinga wa sina yoyote

Ukiangalia bunge aibu

Ukifuatilia mahakama aibu

Serikali ndio hao hata akiba zetu wanatuibia kweupee!!!!!

Sio Leo bado tunasafari ndefu sana.
 
Kwa huu moto Emmanuel macron sijui kama atabaki

Nchi ya Ufaransa imesimama watu kutoka mashambani wanakusanyika mjini Paris kishinikiza macron aondoke madarakani

Kampuni za usafirishaji hasa mabasi zimeshusha nauli kwa 50% ili kuwawezesha wananchi wanaotaka kwenda Paris kuungana na waandamanaji wengine
Usafiri wa tren pia kuna discount kwa wanaosafiri kwenda paris kwa ajili ya maandamano makubwa yaliyopangiwa kufanyika aidha vyombo mbali mbali vya habari vinaripoti macron anajiandaa kung'oka kwa hiari.

Chanzo kikubwa cha maandamano ni kupanda kwa gharama za maisha hasa nishati ya petrol
Pia makampuni kadhaa ya ndege yanashusha nauli kwa wanaokwenda paris kuandamana

Tukumbuke macron alikuwa tumaini kubwa sana kwa umma wa ufaransa kabla ya kuingia ikulu kutokana na sera zake ila sasa mambo yabadilika



My concern...Putin anataka kuisambaratisha ulaya? Kuna vitu vingi nyuma ya pazia tuendelee kusubiri na kuona

Hii inanikumbusha french rovulations iliyopelekea ufaransa kuendelea sanaView attachment 960355
Putin hahusiki popote.dogo huyu mbishi sana.trump alikuwa anamshauri vizuri mpaka wakati Fulani wanagombana kutokana na sera mbovu.Sera zake za kuwa globalist zina mkost.trump marekani kwanza ndio maana marekani maisha mtelemko.wanajaribu kumchonganisha trump na wananchi lakini hawafanikiwi.
 
WASIMFUATE MMAREKANI KUJISHUGHULISHA NA MIVITA TU, VITA SASAIVI HAVINA MAANA, MARA WANASHAURIWA TUIPIGE SYRIA, MARA UGAIDI SJUI KUIVAMIA LYBIA, NDIO MATOKEO YAKE HAYO SASA KUPANDA KWA GHARAMA ZA LIFE, MAREKANI ANAPOVAMIA HUWAGA ANAIBA SANA ILI KUFIDIA, ALAF MAREKANI AMESHAJINDAA KITAMBO SANA, NCHI ZA ULAYA ZIWE MAKINI HAPA, NAKUMBUKA ATA ITALY ALIWAHI KUONGEA HIZI ISHU
 
Back
Top Bottom