mwenemti
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 309
- 59
anauza maandazi ya bakhresa!
alex anaish kama digidigi? loh upo dunia ipi
acha kukariri story za vijiweni, mtu akitaka utoke jela mlemavu na hautembei kwa miguu yako basi akuripoti kwa askari magereza kwamba unataka kumletea ubasha, ndio utawajuwa askari magereza walivyo na roho mbaya na wanaongoza kwa mateso. mtu kama shoga ni shoga tu tangu uraiani.Papaa ni mwali wa nyapara mkuu pale gesti ya serkali. Muda huu anatandika kitanda cha mumewe aka nyapara tayari kwa kumpa vituuuz
wako na ndama mtoto wa Ng' ombe
wadudu gani?Lakini anaonekana kama wadudu walikuwa bado mwilini,au anameza kimya kimya
Matola sio digidigi tena ameshakatwa lakini ilikua kimya kimya nakaa nae mtaa mmoja nina details zote kutoka kwa watoto wake,mmoja wapo ndo anasimamia mali siku hizimsofe si wakuonewa huruma ni majanga ya kujitakia. mtu ameshapata pesa kibao na ana nyumba kibao mikocheni lakini bado linadhurumu tu, angalia Alex massawe na utajili wake wote sasa hivi anaishi kama digidigi.
mpaka apandishwe mahakamani ndio itakuwa confirmed.Matola sio digidigi tena ameshakatwa lakini ilikua kimya kimya nakaa nae mtaa mmoja nina details zote kutoka kwa watoto wake,mmoja wapo ndo anasimamia mali siku hizi
hivi na wewe unafagilia waharifu? Alex massawe ni wanted ili aunganishwe kwenye kesi na msofe.
Matola sio digidigi tena ameshakatwa lakini ilikua kimya kimya nakaa nae mtaa mmoja nina details zote kutoka kwa watoto wake,mmoja wapo ndo anasimamia mali siku hizi
Bakhresa wa wapi Ikungi Singida?anauza maandazi ya bakhresa!
acha kukariri story za vijiweni, mtu akitaka utoke jela mlemavu na hautembei kwa miguu yako basi akuripoti kwa askari magereza kwamba unataka kumletea ubasha, ndio utawajuwa askari magereza walivyo na roho mbaya na wanaongoza kwa mateso. mtu kama shoga ni shoga tu tangu uraiani.
Mnakumbuka enzi zile papa Musoffe akipokea simu mziki unazimwa ziii. Halafu yule sijui ndama sijui beberu anasema. SAMAHANI PAPAA ANAPOKEA SIMU. wakati watu mmelipa kiingilio.akimaliza kuongea na simu anaruhusu muziki uendelee. HATA KAPUYA MWENYE BENDI HAJAWAHI KUFANYA JEURI HII
Jeuri ya pesa siyo mkuu!!!? Sasa akirudi huko lupango wakati kesi bado kabisa ajiandae kuwa mhudumu wa bar. Mali zote za wizi na ushirikina kwisha.
hivi na wewe unafagilia waharifu? Alex massawe ni wanted ili aunganishwe kwenye kesi na msofe.
damu inanena ana fanya yote ukiua damu itakuhukumu Kabla ujahukumiwa na Mungu
Yuko pale nyuma ya taabata mkuu ukonga si ukonga ila wameabatiza segerea
kuna yule mwenzake alitokea uk akaanza kumwaga hela kama njugu kwenye bendi za fm academa sijui nae yuko wapi alikuwa
mchepuko wa Aunt ezekiel
baadae gazeti za global wakamtoa picha nyumba anayoishi mama yake kijijini wakauliza je anastahili kumwaga hela ovyo na mamayake kusema anajua mwanae yuko marekani kumbe anamwaga hela kwa mazagazaga yaliokubuhu
nikumbushe jina tena
huyo ni jack pemba, ambaye kaka yake anavaa nguo za kike siku hizi.
https://www.jamiiforums.com/mahusia...mba-mwanaume-anayependa-mavazi-ya-kike-2.html