Papaa Msofe

Papaa ni mwali wa nyapara mkuu pale gesti ya serkali. Muda huu anatandika kitanda cha mumewe aka nyapara tayari kwa kumpa vituuuz
acha kukariri story za vijiweni, mtu akitaka utoke jela mlemavu na hautembei kwa miguu yako basi akuripoti kwa askari magereza kwamba unataka kumletea ubasha, ndio utawajuwa askari magereza walivyo na roho mbaya na wanaongoza kwa mateso. mtu kama shoga ni shoga tu tangu uraiani.
 
Inasikitisha sana mtu anataka kujua ukweli wengine mnaleta utani kwani lazima u comment kama hujui?
 
msofe si wakuonewa huruma ni majanga ya kujitakia. mtu ameshapata pesa kibao na ana nyumba kibao mikocheni lakini bado linadhurumu tu, angalia Alex massawe na utajili wake wote sasa hivi anaishi kama digidigi.
Matola sio digidigi tena ameshakatwa lakini ilikua kimya kimya nakaa nae mtaa mmoja nina details zote kutoka kwa watoto wake,mmoja wapo ndo anasimamia mali siku hizi
 
Last edited by a moderator:
Matola sio digidigi tena ameshakatwa lakini ilikua kimya kimya nakaa nae mtaa mmoja nina details zote kutoka kwa watoto wake,mmoja wapo ndo anasimamia mali siku hizi

Yule mtoto wa papaa musoffe anauwezo kweli wa kusimamia mali ? mimi namwona kama hamnazo.
 
Last edited by a moderator:
acha kukariri story za vijiweni, mtu akitaka utoke jela mlemavu na hautembei kwa miguu yako basi akuripoti kwa askari magereza kwamba unataka kumletea ubasha, ndio utawajuwa askari magereza walivyo na roho mbaya na wanaongoza kwa mateso. mtu kama shoga ni shoga tu tangu uraiani.

Mkuu ulishawahi kufungwa ? walikupa mvua ngapi ? Mbona jamaa wanasemaga nyapara lazima awe na wake wawili ? Kama mtu hugegedwa kwa ridhaa yake basi afadhali.
 
Mnakumbuka enzi zile papa Musoffe akipokea simu mziki unazimwa ziii. Halafu yule sijui ndama sijui beberu anasema. SAMAHANI PAPAA ANAPOKEA SIMU. wakati watu mmelipa kiingilio.akimaliza kuongea na simu anaruhusu muziki uendelee. HATA KAPUYA MWENYE BENDI HAJAWAHI KUFANYA JEURI HII

Jeuri ya pesa siyo mkuu!!!? Sasa akirudi huko lupango wakati kesi bado kabisa ajiandae kuwa mhudumu wa bar. Mali zote za wizi na ushirikina kwisha.
 
Jeuri ya pesa siyo mkuu!!!? Sasa akirudi huko lupango wakati kesi bado kabisa ajiandae kuwa mhudumu wa bar. Mali zote za wizi na ushirikina kwisha.

Yule jela ndio mwake. hatoki tena. Polisi walishakula pesa yakeee lakini siku ya siku walimhamisha aliyekula pesa ikaletwa njemba ambayo haijala pesa ambayo haiangalii makunyanzi. papaa akitoka hata wanawake alokua anachukua wawii wawili atakua hawawezi tena.
 
hivi na wewe unafagilia waharifu? Alex massawe ni wanted ili aunganishwe kwenye kesi na msofe.

Huenda kaka yake au ni mmoja wa vitolea wake huoni hata majina yanafanana mkuu.. Povu linamtoka kutetea waarifu. Atakua ni mchepuko wake

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
damu inanena ana fanya yote ukiua damu itakuhukumu Kabla ujahukumiwa na Mungu

Yuko pale nyuma ya taabata mkuu ukonga si ukonga ila wameabatiza segerea

kuna yule mwenzake alitokea uk akaanza kumwaga hela kama njugu kwenye bendi za fm academa sijui nae yuko wapi alikuwa

mchepuko wa Aunt ezekiel

baadae gazeti za global wakamtoa picha nyumba anayoishi mama yake kijijini wakauliza je anastahili kumwaga hela ovyo na mamayake kusema anajua mwanae yuko marekani kumbe anamwaga hela kwa mazagazaga yaliokubuhu

nikumbushe jina tena

huyo ni jack pemba, ambaye kaka yake anavaa nguo za kike siku hizi.

https://www.jamiiforums.com/mahusia...mba-mwanaume-anayependa-mavazi-ya-kike-2.html
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom