Kigogo
JF-Expert Member
- Dec 14, 2007
- 20,508
- 6,199
Haiwezekani mkuu,yule mtu maarufu lazima atakua jela private.
Private wapi nenda ukonga umuone anavotoa macho kwenye grill kama ngedere...
Haiwezekani mkuu,yule mtu maarufu lazima atakua jela private.
Private wapi nenda ukonga umuone anavotoa macho kwenye grill kama ngedere...
Kigogo umenifanya nicheke mpaka memsahip ameamka toka usingizini. anachungulia kama ngedere
Serious we nenda uone..anavaa lipensi la jeans na bonge la tshirt limeandikwa WU Tang clan anachungulia chungulia tu kwenye magriri akiona visitors ..yaani kama ngedere kabisa
msofe si wakuonewa huruma ni majanga ya kujitakia. mtu ameshapata pesa kibao na ana nyumba kibao mikocheni lakini bado linadhurumu tu, angalia Alex massawe na utajili wake wote sasa hivi anaishi kama digidigi.
mbona mnaogopa kusema yupo jela kwa tatizo gan? mnaropoka tu mtoa mada kajieleza vizuri kama hamjui kaeni kimya.
Ni miaka sasa imepita bila kusikia jina la mfanyabiashara papaa Msofe likitajwatajwa sana kwenye band za muziki Wa dance,kumbi za starehe na wa vyombo vya habari.
Kipindi cha nyuma nilikua nikiliskia sana jina hili likitawala bila kuelewa ni nani haswa mtu huyu.
Leo naona si vibaya wanaomfahau huyu bwana wakitutanabaisha kwamba ni nani, na anahusika na biashara gani mpaka kupelekea kuwa na umaarufu kiasi kile?
Ahsanteni.
msofe si wakuonewa huruma ni majanga ya kujitakia. mtu ameshapata pesa kibao na ana nyumba kibao mikocheni lakini bado linadhurumu tu, angalia Alex massawe na utajili wake wote sasa hivi anaishi kama digidigi.
Pappaa alikua na chumba
kwenye hoteli moja karibu na kwa nyerere ambacho alishakilipia mwaka
mzima kwa ajili ya michepuko yake. leo hii hata harufu ya K
keshaisahau
Mkuu alaf kama wasanii wamemsahau hivi papaa,si sikii kabisa wakimrusha.
mkuu, umenilaza unono! stress zmeisha!
anauza maandazi ya bakhresa!
Jacky Pembadamu inanena ana fanya yote ukiua damu itakuhukumu Kabla ujahukumiwa na Mungu
Yuko pale nyuma ya taabata mkuu ukonga si ukonga ila wameabatiza segerea
kuna yule mwenzake alitokea uk akaanza kumwaga hela kama njugu kwenye bendi za fm academa sijui nae yuko wapi alikuwa
mchepuko wa Aunt ezekiel
baadae gazeti za global wakamtoa picha nyumba anayoishi mama yake kijijini wakauliza je anastahili kumwaga hela ovyo na mamayake kusema anajua mwanae yuko marekani kumbe anamwaga hela kwa mazagazaga yaliokubuhu
nikumbushe jina tena