Papaa Msofe

His empire has crumbled down...kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Haiwezekani kuchezea watu wanyonge kila uchao kama wewe una roho ya chuma.
Huyu jamaa ana roho ya chuma, kesi hii alishatoka uraiani kaenda kuwapiga tena, jana tarehe 1 December 2019 kafikishwa mahakama ya kisutu kwa kesi ya kutakatisha pesa na kumiliki genge la uhalifu, hapo Magu anataka mpunga tu ndio utoke.
 
Mtu ana roho mbaya sana huyu. Anyway, atajibeba na wakili msomi Mwesiga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom