Papaa Msofe

Inasikitisha sana mtu anataka kujua ukweli wengine mnaleta utani kwani lazima u comment kama hujui?

Unataka kujua ukweli wa jambazi ? mwizi ? mshirikina ? mwuaji ? Basha ? dhulumati ? mzinzi ? Huyo ndio papaa msofe. Acha anyee debe halafu kuna mtu anatoka na mke wake kiulaiiini kwa raha zake.
 
Another example crime does pay...and u reep what you sow!wajelajela wacha wapotee...
 
Mnakumbuka enzi zile papa Musoffe akipokea simu mziki unazimwa ziii. Halafu yule sijui ndama sijui beberu anasema. SAMAHANI PAPAA ANAPOKEA SIMU. wakati watu mmelipa kiingilio.akimaliza kuongea na simu anaruhusu muziki uendelee. HATA KAPUYA MWENYE BENDI HAJAWAHI KUFANYA JEURI HII

Hahahaaaaa.... Noma sanaaa..
Kweli Satan is nerd
 
kams hujui huyu jamaa yuko wapi utakuwa ulikuwa uko kwenye likizo ya maisha
 
Mkuu alaf kama wasanii wamemsahau hivi papaa,si sikii kabisa wakimrusha.

Pesa kaka ndio ilikuwa inaimba,chezea Wazaire utasifiwa weee hadi ujione wewe ndie raisi wa dunia ,lakini ukipata matatizo au pesa ikukimbie hapo ndio utawajua Wazaire hata kuingia pale getini hutakubaliwa ilihali ulipokuwa njema ulikuwa unaingizwa bure tena kwa kuimbwa wakati unaingia ndani na unatengewa meza kule mbele iliukitaka kuzitoa isiwe tabu kupita kwenye meza.Nafikir Papa Msofe sasa atakuwa anajua nani ni rafiki wa kweli na nani rafiki wa uongo.Ukitaka kujua tabia za marafiki zako filisika au fungwa ndio utakapojua ,hata akina honey ambao kila leo walikuwa kwenye simu nao wanaota mbawa.Lakinisi siri akitoka atakuwa amesave sana hela zake alizokuwa akimwaga.
 
Ni miaka sasa imepita bila kusikia jina la mfanyabiashara papaa Msofe likitajwatajwa sana kwenye band za muziki Wa dance,kumbi za starehe na wa vyombo vya habari.

Kipindi cha nyuma nilikua nikiliskia sana jina hili likitawala bila kuelewa ni nani haswa mtu huyu.

Leo naona si vibaya wanaomfahau huyu bwana wakitutanabaisha kwamba ni nani, na anahusika na biashara gani mpaka kupelekea kuwa na umaarufu kiasi kile?

Ahsanteni.



Jamaa bado yupo anatusanifu tu. Mchana anakuwa jela usiku anapelekwa kwao kisailensa kuvinjari na mkewe huku akila dili za siku zote na washikaji wake.
 
Aisee acheni tu, in short daima tukumbuke tu kuwa Mungu yupo and crime doesnt pay.

His empire has crumbled down...kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho. Haiwezekani kuchezea watu wanyonge kila uchao kama wewe una roho ya chuma.
 
Jamaa bado yupo anatusanifu tu. Mchana anakuwa jela usiku anapelekwa kwao kisailensa kuvinjari na mkewe huku akila dili za siku zote na washikaji wake.
Jeuri hiyo alikua nayo marehemu Mapunda tu. Na alikua halali nyumbani bali alikua anapelekwa kwenye vigrosery vya Keko machungwa kuwanunulia makorokoroni vibia na chips. Papaa uraiani anaiona kupitia magriri tu. nyambavh yake
 
sidhani hata kama atakua na hiyo pesa ya ku save tena,maana najua watamfatilia kwa kina sana.
 
Kwa akili ya kawaida,unaweza kuamini kama yupo jela ya kawaida,ila naamini kwa noti alizonazo atakuwa ametengewa chumba maalum pale jela.
 
Kwa akili ya kawaida,unaweza kuamini kama yupo jela ya kawaida,ila naamini kwa noti alizonazo atakuwa ametengewa chumba maalum pale jela.

Jela ni jela tu hata ukae chumba maalum. Mwulize Mramba na Yona adha waliyoipata. yaani mtu mzima mheshimiwa unaku.nya kwenye debe watoto wa kihuni wamekukodolea macho. utachamba kweli ?????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom