Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

Ujue wazungu wanaamini sana katika uhuru wa mtu mmoja mmoja na kuishi Kama ambavyo yeye anahisi anaifurahisha nafsi yake... Ndio maana wakati mwingine uhuru unapitiliza na kufanya mambo ambayo (nafikiri) hayampendezi mwenyezi Mungu, but Who Am I to Judge..????? Bado POPE amesimama kwenye misingi ya dini, sisi sio Mungu.... Tumuachie mwenyew ataelewana na wana wake siku ya Hukumu....!!!!!!! Sisapoti mapenzi ya jinsia moja but Who Am I to Judge...????

Ivi leo ukasikia babako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utasubiri mpaka Mungu aje amuonye?? Unapokuwa kiongozi ishi kama kiongozi ujinga wa kuvuana chupi wanaume kwa wanaume mwisho ilikuwa SODOMA! Alishindwa kusema hata ivo?? Laana zingine hapa duniani tunazitaka wenyewe... Ndoa za jinsia moja HAZIKUBALIKI!!!
 
Msimamo wangu uko wazi wa kupinga ushoga na kupinga kauli ya papa.
elewa papa ni kiongoz gani?
Tunapozungumzia masuala ya kiroho haturuhusiw kuhukumu mtu mweny dhambi ila kumuomba ili abadilike.
Tunaruhusiwa kuwatenga na kuwakemea na pia kuwashauri sbb mpaka kufika hatua kuwa shoga ni mpango wa shetani.
 
Onyesha mstari kwa ku'quote ni wapi Papa aliposema hataki watu mseme. Pia onyesha mstari kwa ku'quote ni wapi Papa aliposema dhambi isikemewe. Inawezekana hata lugha ni tatizo. Just quote to show
Wewe ndio hujaelewa kauli ya papa, kimsingi hakuna shoga aliyehukumiwa na mtu yeyote kwa sababu ya mapungufu yske, siku zote kumekuws na kauli za kukemewa kwa jambo hilo, hivyo basi kauli ya huyu malaika wa lucifa papa ni kwamba hata kukemea tuache kwa kuwa sisi nasi ni wadhaifu
 
Mnavyojidai kuwatenga mashoga, utadhani ninyi mko safi rohoni. Hebu jichunguze kwa leo tu, tangu umetoka nyumbani hadi sasa hivi, haujamkosea Mungu wako? Na wewe utengwe kwa makosa yako? Kitu gani kinakufanya umuone mwenzako ana dhambi isiyomstahili kusaidiwa kiroho kuliko dhambi zako?
Sasa mku asaidiweje wakati mashoga wote wanaipigia promo, shoga mwenyewe na wafiraji wao wanaona ni sawa na wanahaki wanataka kuhalakishiwa utawasaufmdiaje zaidi ya kukemea na kuwatenga?? Dhambi zote watu huzifanya kimyakimya tena kwa kificho lkn wao wanataka ruhusa rasmi tena wanadai hadi sheria za nchi na dunia ziruhusu, uliona wapi dhambi ikapigiwa promo??
 
Angekuwa ni mwarabu anaewatetea Mashoga na ushoga. Sijui ingekuwaje. Wakatoliki waombeni radhi Mashoga na wasagaji kama anavyosema mwakilishi wa Mungu hapa duniani
 
elewa papa ni kiongoz gani?
Tunapozungumzia masuala ya kiroho haturuhusiw kuhukumu mtu mweny dhambi ila kumuomba ili abadilike.
Tunaruhusiwa kuwatenga na kuwakemea na pia kuwashauri sbb mpaka kufika hatua kuwa shoga ni mpango wa shetani.

Kwahiyo utamuomba radhi kwanza halafu umkemee na kumtenge
 
Jibu hili swali! Nani kamhukum shoga?? Halafu tuendelee kama kweli unaelewa maana ya hukumu
 
Ivi leo ukasikia babako anashiriki mapenzi ya jinsia moja utasubiri mpaka Mungu aje amuonye?? Unapokuwa kiongozi ishi kama kiongozi ujinga wa kuvuana chupi wanaume kwa wanaume mwisho ilikuwa SODOMA! Alishindwa kusema hata ivo?? Laana zingine hapa duniani tunazitaka wenyewe... Ndoa za jinsia moja HAZIKUBALIKI!!!
sasa km babako akiwa shoga utafanyaje?
Utampiga risasi au utavaa mabomu ukamlipue?
Sishabikii ushoga hata kidogo ila ktk ulimwengu wa roho tunapaswa kuwaombea ili wabadilike na pia tuwape mafundisho ya kibiblia ili wapate kumjua YESU.
Suala la kuhumu ni la Mungu na si binadamu.
Kuwatenga na kuwakemea tunaruhusiwa sbb itatuonyesha kwamba tumechukizwa.
Sasa babako akiwa shoga ukimuua unafikir utakwenda mbingu ya nani? Au unafikiri baada ya kumlipua kwa bomu ww utaenda mbinguni?
Huoni km unajiongezea dhambi
 
Futile work hii.
Unawaombea kimyakimya bila kuwahubiria wakatambua kuwa hayo wayatendayo ni chukixo kwa Mungu??
Kwanza nianze kwa kusema nakubaliana na kile alichokisema Papa kama ni kweli alisema hayo. Kazi ya kuhukumu tuachie mamlaka za dunia na Mbingu. Tukumbuke kwamba Papa ameelezea hilo kama kiongozi wa kiroho na sisi Wakristu vita vyetu si vya damu na nyama. Kuanza kuwapiga au kuwaua wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja sio sahihi. Shetani ndio baba wa uovu wote hivyo tunapaswa kuamini hakuna alizaliwa shoga bali shetani kambadilisha. Hivyo inatupasa kuelekeza vita vyetu kwa shetani kwa kuwaombea mashoga wote Mungu awarudishe katika hali yao kawaida. Nimeshuhudia mashoga na wasagaji wakibadilika baada ya kumpokea Yesu na kupokea miujiza yao. Binafsi siungi ushoga au mapenzi yoyote ya jinsia moja na kinyume na maumbile. Siwahukumu wala kuwatenga bali nawaombea kwa Mungu kwa kuwa naelewa sio mpango wa Mungu wawe hivyo na hii sio vita vya kidunia bali ni vita vya kiroho.
 
Namuunga mkono 100% Pope wetu, huu ni ulemavu kama zilivyo lemavu zingine! Ulemavu ukiwa wa ngozi (albinism) ni sawa, ukiwa wa miguu/mikono ni sawa, ukiwa wa macho (kipofu) sawa, ila ukiwa wa kijinsia ni HARAMU! Ndio maana tunakatazwa kuhukumu! Wote watakaonibishia naomba wanipe maana na sababu za hali hizi: "Transgender, FTM, MTF, Homosexualism, nk halafu tuendelee na mjadala huu!
 
kusema kuwa binadamu hana uwezo wa kumhukumu mtu sio kweli kwa wale wakatoliki wanafahamu mtu kama ukiwa hutoi zaka,huendi kanisani wala kushiriki katika vigango licha ya kutofanyiwa ibada yeyote ya maziko hutoruhusiwa kuzikwa ktk eneo husika la katoliki hata kama wewe ni mkatoliki je hio sio hukumu
Mimi ni mkatoliki nimejifunza dini ya kikatoliki ndio nikabatizwa, lkn kauli hii ya papa ni ya kishetani
 
elewa thread inasemaje
kinachozungumziwa ni mambo ya kiroho.
Sasa ww ulikuwa unataka wapigwe wauawe?
Haturuhusiw kuhukumu sbb Mungu pekee ndiye anayehukumu na s binadamu.
Kuwakemea na kuwatenga hiyo ruksa tunaruhusiwa.
Bac ww ukiwaona wapige risas bac

Mkuu, Papa kachemka samahani Nasema hivyo, huwezi kumuomba radhi mkosaji halafu umkemee haiingi akilini, Ni mambo ya Roho yupi yakuomba radhi kwa mdhambi? Nafahamu ya kwamba sisi sote ni wadhambi
 
Kwahiyo utamuomba radhi kwanza halafu umkemee na kumtenge
hebu elewa kuwa shoga ni mpango wa shetani.
Kwahiyo utampa athari za ushoga kwanza.
Kisha unampa mafundisho ya bibiblia na kuhusu mpango wa Mungu unasemaje kwa wanadamu.
Kwa akili ushawahi kuona mtumishi anaenda kumuhubiria mtenda dhambi halafu anamuomba msamaha?
Ww unafikiri baada ya kugundua rafiki yako shoga kwahiyo ni kubeba kisu kwenda kumuua au kumlipua kwa mabomu?
Kuna dhambi pia zingine zinachukiza mbele za Mungu km kunyonya sehemu za siri na pia kufanya mapenz kinyume na maumbile.
Ww unafikir kunyonya sehemu za siri za mwanamke au mwanaume sio dhambi?
 
Pole sana ndugu hata maana ya ulemavu huijui krb ujiunge na kanisa langu la ki lucifa ntakupa ushemasi, ulemavu wa aina yoyote mwathirika huomba Mungu amponye, lkn huo unaosema wewe walemavu wake wanautangaza na kutaka na wengine wengi wajiunge kwa dhamiri thabiti kbs, anyways mashoga ni wengi sana siku hizi hata humu naamini wamo
Namuunga mkono 100% Pope wetu, huu ni ulemavu kama zilivyo lemavu zingine! Ulemavu ukiwa wa ngozi (albinism) ni sawa, ukiwa wa miguu/mikono ni sawa, ukiwa wa macho (kipofu) sawa, ila ukiwa wa kijinsia ni HARAMU! Ndio maana tunakatazwa kuhukumu! Wote watakaonibishia naomba wanipe maana na sababu za hali hizi: "Transgender, FTM, MTF, Homosexualism, nk halafu tuendelee na mjadala huu!
 
Hapa unachanganya hbr, za Mungu na za lucifa, embu jinasibu wewe uko upande upi
sasa km babako akiwa shoga utafanyaje?
Utampiga risasi au utavaa mabomu ukamlipue?
Sishabikii ushoga hata kidogo ila ktk ulimwengu wa roho tunapaswa kuwaombea ili wabadilike na pia tuwape mafundisho ya kibiblia ili wapate kumjua YESU.
Suala la kuhumu ni la Mungu na si binadamu.
Kuwatenga na kuwakemea tunaruhusiwa sbb itatuonyesha kwamba tumechukizwa.
Sasa babako akiwa shoga ukimuua unafikir utakwenda mbingu ya nani? Au unafikiri baada ya kumlipua kwa bomu ww utaenda mbinguni?
Huoni km unajiongezea dhambi
 
Kaka mbona huu utetezi wako unanitia mashaka juu yako??
hebu elewa kuwa shoga ni mpango wa shetani.
Kwahiyo utampa athari za ushoga kwanza.
Kisha unampa mafundisho ya bibiblia na kuhusu mpango wa Mungu unasemaje kwa wanadamu.
Kwa akili ushawahi kuona mtumishi anaenda kumuhubiria mtenda dhambi halafu anamuomba msamaha?
Ww unafikiri baada ya kugundua rafiki yako shoga kwahiyo ni kubeba kisu kwenda kumuua au kumlipua kwa mabomu?
Kuna dhambi pia zingine zinachukiza mbele za Mungu km kunyonya sehemu za siri na pia kufanya mapenz kinyume na maumbile.
Ww unafikir kunyonya sehemu za siri za mwanamke au mwanaume sio dhambi?
 
Mkuu, Papa kachemka samahani Nasema hivyo, huwezi kumuomba radhi mkosaji halafu umkemee haiingi akilini, Ni mambo ya Roho yupi yakuomba radhi kwa mdhambi? Nafahamu ya kwamba sisi sote ni wadhambi
suala la kuomba radhi nakiri hapo yupo wrong sbb mtenda dhambi haombwi radhi hata siku moja.
Ila kuhukumu haitakiwi sbb ni mambo ya rohoni. Ndio maana huwa hatujui mtu kawaza nn ila Mungu ndio anajua.
 
Back
Top Bottom