Msiwahukumu wa mapenzi ya jinsia moja: Papa Francis

Mmh nimekutia kati. Ni mkaka (shoga) anaelezea jinsi alivyoacha ushoga.

Kasema sio rahisi yeye Kuwa mwanaume tena, Kwa sababu ameathirika kisaikolojia. Inahitaji mtaalamu wa saikolojia ku-tackle situation hiyo. Na sio umparamie tu barabarani eti aache ushoga

Sasa hivi amesema anatamani sana kubeba mimba, na anaamini atapata sponsor wa kupandikiza. Ila kama atazaa mtoto afu Wa kiume, hatopenda kabisa mtoto wake awe shoga

Amesema akiamua kutaja wanaume ambao ni wateja wao, basi ataishia kutekwa tu. Mm vibosile hao jamani, na wanawahudumia sana. Na amesema wengi wao (wadada wa mjini including yeye), yanawakuta yote hayo Kwa sababu ya kuendekeza dhiki. Hela Huna Ila unataka starehe

Wana NGO yao inaowafadhili. Na huwa wanapewa wipes, dettol, mouthwasheds, condoms, vilainishi etc. Na huwa anawasisitiza Sana wenzie kutumia kinga coz dunia ya Sasa maradhi ni mengi

Amesema wazazi wengi hawafatilii watoto wao. Hujui anafanyaje shuleni, anapitia wapi Na anakutana Na nani. Zile mambo za kusema "me mtoto amenishinda, atajijua mwenyewe" , hazifai coz it's like umemnawa/kumsusa mtoto. Wazazi kuweni karibu sana na watoto wenu

Asante sana Heaven sent kwa mchanganuo maridhawa. Hivyo basi tunapata majibu kuwa USHOGA SI UDHAIFU BALI NI HALI MTU ANAJITAKIA AU ANASABABISHIWA AKIWA MDOGO! Na pale tu wazazi au walezi wanaposhindwa kufuatilia tabia za watoto wao mashuleni,vyuoni au kwenye taasisi mbalimbali. Haya shoga leo anataka kuzaa jamani hii ni mpya! Gregori najua unalakuongezea karibu!
 
Mkuu kama kuna mtu hata hapa jakuelewa basi ni ki.la.za first class.....Big up

Mkuu serikali kuwahudumia watu wake ni sahihi kabisa tena bila kipingamizi. Fahamu kuwa serikali haina dini hivyo chochote kinaruhusiwa. Ila huku kwenye dini zetu naamini ziko taratibu na sheria ambazo haziruhusu hizo mavitu.
 
"Tusiwahukumu" anamaanisha kwamba... Tusiwahesabie Kuwa hawana nafasi tena mbele ya Mungu, au hawastahili kuwepo katika jamii ya watu... Bado wana nafasi ya kutubu. Mungu huwaacha watendao dhambi waendelee kuishi ili wapate nafasi ya kutubu kwakua hataki hata mmoja apotee..... Pop anasema tuendelee kuwaita nao wataitika wawe watu wapya.. "SIKUJA KUWAITA WATU WEMA, BALI WENYE DHAMBI ILI WAPATE KUTUBU"
 
Back
Top Bottom