Papa Francis Adai "Hakuna Paradiso /Mbinguni

Sasa sisi viumbe hai tumetoka wapi?
Hilo ni swali tofauti ambalo jibu lake linafanyiwa kazi bado, lakini si Mungu huyo.

Tunaweza kujua jibu fulani si sahihi hata bila kujua jibu sahihi ni lipi, kama vile tunavyoweza kujua 10 si square root ya 2 hata bila kujua square root ya 2 ni nini.

Ungeumbwa na Mungu huyo usingepewa adhabu ya kunya karibu kila siku.
 
Nina imani kwa Mungu wangu isiyoyumbishwa na yeyoye awaye yote! Ninajua kwa hakika kwanini naamini juu ya uwepo wake! Nimaani katika utatu mtakatifu. Na ninaamini katika maisha mapya baada ya kifo
Ukijua kwa uhakika huamini na ukiamini hujajua kwa uhakika.

Umechanganya madawa.
 
Hivi kwa mujibu wa aya yako ya mwisho na maelezo ya biblia kwa ujumla kama binadamu watapewa mwili mpya tofauti na wa awali watatambuanaje? Maana kila siku mmoja wetu anapotangulia mbele ya haki uwa tunafarijiana kwa kusema "tutaonana baadae" kumaanisha kuna siku tutakuja kuonana huko mbinguni.
 
Kwenye mji wa Jerusalem hapo tumepigwa...
 
Utakuwa ni mwili usiohisi maumivu,njaa,mateso..mwili wa utukufu,mwili uliookuwa upgraded wenye hadhi ya kuishi mbinguni,mwili wenye kufanana na malaika
 
Utakuwa ni mwili usiohisi maumivu,njaa,mateso..mwili wa utukufu,mwili uliookuwa upgraded wenye hadhi ya kuishi mbinguni,mwili wenye kufanana na malaika
Kwamba tutatambuana kwa vile tutakuwa na mwili usiohisi maumivu, njaa, mateso n.k.? Sijaelewa hapo kiongozi.
 
Kwanza mapapa mwenyewe wanapewa vyeo hivyo wakati jua limezama kama miaka 8o au 87 akili zao zimeshachoka
 
Nina imani kwa Mungu wangu isiyoyumbishwa na yeyoye awaye yote! Ninajua kwa hakika kwanini naamini juu ya uwepo wake! Nimaani katika utatu mtakatifu. Na ninaamini katika maisha mapya baada ya kifo
HUWA SIKUPENDI!!!

ILA KWA HAPA[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Mimi ni mkatoliki tena ni kiongozi wa jumuiya ila wakati mwingine huwa simuelewi Papa. Anakuwa kama anataka kuwaridhisha wanasiasa yaani kubalance siasa na dini. Mfano suala la ushoga kisiasa ni haki za binadamu, na si kidini. Kidini ushoga ni tabia na si asilia, na tabia ni roho.
 
papa bwana kwa kujichanganya hapo naona alifikiri yuko kwenye vile vikao vyao vya sirini
 
Hajawahi kusema hivyo!! Tupe source!!..Na hata hiyo habari ya "there is no hell" hakusema hivyo Vatican ilitoa statement kwamba alinukuliwa vibaya nakumbuka ilikuwa around 2018 hivi
Habari ya huyu jamaa nimefukunyua kwenye source zote duniani sijaipata. Papa hawezi kusema maneno hayo halafu habari is trend achilia mbali kutochapishwa popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…