Papa Francis Adai "Hakuna Paradiso /Mbinguni

Papa Francis Adai "Hakuna Paradiso /Mbinguni

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
28,749
Reaction score
91,825
Wakati Yesu akiwa na siku chache toka afufuke na kurudi mbinguni kuketi mkono wa kuume wa Baba yake .


Wakati Yesu alituachia Sala yetu ya 'Baba yetu uishie Mahali pa juu mbinguni ".....



Kama kawaida , Leo Papa katoa Boko jingine, 2013 alidai hamna Jehanamu ( Kwa maono yake wadhambi tuendeleee kudhambika ).

Baadae akawashauri wasoamin uwepo wa Mungu "Humuhitaji Mungu kukuona Uzima "


Leo katika Intavyuu , kadai Hamna Paradiso, hamna Cha mbinguni , Kwa Lugha nyingine, nyie wafuasi wake mnaambiwa Hamna Mungu , ndiooo, Kama makazi ya Mungu hayapo, Mungu mwenyewe hayupo Sasa ??.



Duuhh!!!! Hakika Mtakatifu Yohana kwenye kitabu Cha Ufunuo, akimuelezea Mnyama ( Mpinga Kristo) alisema "Ana kinywa Cha mwanadam hata akanena Maneno ya kukufuru ......


View attachment 2196950


BERGOGLIO IN A INTERVIEW (ITALIAN)

"HEAVEN IS NOT A PHYSICAL PLACE, HEAVEN IS
HERE, IS A LIFE STYLE THAT MAKE ME
CONTEMPLATE OUR LADY, GOD AND THE
BELIEVERS"
THEN IN THE LAST SECOND HE SAYS
" BECAUSE GOD IS SICK."
 
Hajawahi kusema hivyo!! Tupe source!!..Na hata hiyo habari ya "there is no hell" hakusema hivyo Vatican ilitoa statement kwamba alinukuliwa vibaya nakumbuka ilikuwa around 2018 hivi
2013 alisema juu ya Jehanamu


2018 akagusia suala la mbinguni, ndipo Vatcan wakatoka mbele kutetea ,kwamba "Papa alimaanisha hivi,,,,, hivo asieleweke vibaya".



Kwenye Intavyuu ya Leo hapo kwenye hiyo video, Papa anapinga uwepo wa mbingu.
 
Wana siri nzito hao. Shetani umpa maagizo black papa, papa mweusi ambae ukaa chini ghorofa ya saba kwenda chini makao makuu pale vatican, papa binadamu upokea maagizo toka kwa black papa, papamtu ndie mkuu wa siasa na dini duniani na viongozi wote wa nchi zote duniani ni lazima wamuangukie papamtu. Papamtu anaunga ushoga, ushoga ni maagizo ya shetani kupitia Black Papa lengo kuharibu maadili ya jamii na kuua utu wa mwanadamu.
 
2013 alisema juu ya Jehanamu


2018 akagusia suala la mbinguni, ndipo Vatcan wakatoka mbele kutetea ,kwamba "Papa alimaanisha hivi,,,,, hivo asieleweke vibaya".



Kwenye Intavyuu ya Leo hapo kwenye hiyo video, Papa anapinga uwepo wa mbingu.
Unajua Kiitaliano?
 
Yuko sahihi. Duniani tu ndio mahususi kwa ajili ya kuishi watu na mazingira yanayoendana na viumbe hai.
 
Back
Top Bottom