Papa ameumwa dunia imetangaza, kwanini viongozi wa Afrika wakiumwa inakuwa siri?

Labda wanaogopa wakitangaza wanaumwa watapigwa kipapai wasirudi, inakuwa kama kumsukuma mlevi
 
Hili nalo ni jambo la kukuchukulia muda kweli kuhoji?

Umekosa vitu vya msingi kabisaaa vya kuhoji fisi wewe
 
BBC wametangaza kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis anaumwa na amefanyiwa upasuaji, sijasikia taharuki.

Hapa nchini viongozi wetu huwa ni siri hasa awamu ya 5.

Kisa kuepusha taharuki.

Akifa hutangazwa, nini maana yake?
papa kaumwa watu tunamuombea apone arudi kuwaongoza waumini....lkn kiongozi wa africa akiumwa watu tunaomba malaika mtoa roho afanye jambo lake...viongozi wa kiafrica wanajua hawapendwi sababu ya matendo yao ya hovyo dhidi ya raia
 
Msijifanye kama hamjui nchi zetu za Africa zinaogopa nini, kiongozi tu yupo mzima na watu wanahasi... sembuse mseme yu mgonjwa hoi, Wakina Charles Taylor mtakua mmewapa nini wakati huo ? ili wasije kubomoa ikulu na mji ukawa karantini miezi 6
 
JK wakati wake nakumbuka tulikhabarishwa kifupi huo ndio ubinadamu kuugua sio swala la aibu.
Nakumbuka JK kwa maneno yake alisema ...kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri Mwendazake alipinga isitangazwe kuwa JK anaumwa na anatakiwa kwenda kutibiwa
 
Tuna ka ujinga sisi waafrica kwamba kuugua ni aibu - kiongozi anaugua anaficha na wananchi hawahoji matokeo yake ni kifo cha fedheha kinafuatia.

Waziri Mkuu wa Uingeleza aliugua Corona - immediately ikatangazwa na akalazwa fasta, wa kwetu wanajificha ficha huku wanabugia moshi wa miti shamba na uji wa malimao - kwa nini corona isifanye yake.

Ngozi nyeusi bana tuna matatizo mengi mno!!
 
BBC wametangaza kuwa kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani Papa Francis anaumwa na amefanyiwa upasuaji, sijasikia taharuki.

Hapa nchini viongozi wetu huwa ni siri hasa awamu ya 5.

Kisa kuepusha taharuki.

Akifa hutangazwa, nini maana yake?
Tudadavulie anasumbuliwa na nini hasa, huku kwetu nyambitilwa habari hii haijafika.....
 
Back
Top Bottom