Panya wanalimaliza Godoro wanatafuna saaaaana

Katika makubaliano ya kutengeneza viota, ili maonesho ya kutafuna mahindi yafanyike na kushirikisha panya mbali mbali klutokas kaya kadhaa, kuna Kaya moja inatumia mwanya huo kulitafuna Godoro sana ! Ubaya zaidi hakuna paka! Yule panya mwenye mashurubu mengi kutoka maeneo ya kichuguu Kala nusu ya godoro

Britanicca
Japo najua fika its all about chama cha majambazi lakini nimeshindwa kutengua hii cord
 
Katika makubaliano ya kutengeneza viota, ili maonesho ya kutafuna mahindi yafanyike na kushirikisha panya mbali mbali klutokas kaya kadhaa, kuna Kaya moja inatumia mwanya huo kulitafuna Godoro sana ! Ubaya zaidi hakuna paka! Yule panya mwenye mashurubu mengi kutoka maeneo ya kichuguu Kala nusu ya godoro

Britanicca
Screenshot_20260817-165348_Facebook.jpg
 
Panya ni viumbe waharibifu sana. Tunatakiwa kufuga paka wakali wa kuwadhibiti panya. Kuna panya hawategeki kwa mitego au sumu. Hawa ndiyo panya wabaya zaidi kwenye makazi yetu. Uharibifu wao siyo wa dunia hii.
Nitajenga hoja yangu juu ya hii yako kwa kuwa muwazi kabisa kila mtu ajue kinachozungumziwa.

Tanzania tumevurugika; tumeingiliwa na sumu ya udini katika maisha yetu. Chini ya Samia kumeibuka makundi waziwazi yanayojishughulisha kuwagawa waTanzania kwa misingi ya dini zao.

Humu humu JF ukitaka, orodhesha wanaomtetea Samia, utakuta wengi ni wanaomtaka kwa dini yake na siyo kwa sifa ya uongozi wake.
BAKWATA wanakomaa na AMANI bila ya HAKI, siyo kwa sababu Samia anafanya vizuri sana kulinda amani kwa kufanya mema kwa waTanzania; bali wanatetea uwepo wake katika nafasi hiyo kwa kuwa hali hiyo inawanufaisha wao.
Kama si kigezo cha dini yake, wengi wanaotaka uwepo wa Samia kwenye uongozi ni sababu za kimaslahi binafsi, kama akina Kabuti Kalamagamba, Kitilya Mfumbo na wengine wa aina hiyo.

Nje ya vigezo hivyo viwili, Samia anakaa madarakani kiharamu, kwa sababu kawanunua kwa pesa viongozi wa taasisi mbalimbali ili wamlinde katika uhalifu wake.

Nje ya haya matatu, Samia asingekuwepo kwenye nafasi asiyostahili kuwepo tokea mwanzo.
 
Aiseee
 
Katika makubaliano ya kutengeneza viota, ili maonesho ya kutafuna mahindi yafanyike na kushirikisha panya mbali mbali klutokas kaya kadhaa, kuna Kaya moja inatumia mwanya huo kulitafuna Godoro sana ! Ubaya zaidi hakuna paka! Yule panya mwenye mashurubu mengi kutoka maeneo ya kichuguu Kala nusu ya godoro

Britanicca
Nusu ya deni la taifa limetokana na yeye 🥺👀😩
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom