Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
Kulikuawa na panya watatu, walikuwa wakibishana kuhusu ujuzi wao na kila mmoja alijigamba kuwa yeye ni mjuzi zaidi yamwenzie,
Panya 1: mimi ni nouma, ninauwezo wakutegua mitego ya aina yeyote nitakayotegewa..
Panya 2: hahahaa mie ni zaidi ya hatari, naweza kunywa maziwa hata kama yamewekwa sumu...
Panya wa 3 akainamisha kichwa kwa muda afu akaanza kuondoka, wenza wakamuuliza kulikoni anaondoka wakati hajatoa ujuzi wake, akawaambia kuwa anaenda kufanya mapenzi na paka...