Panya wa tatu...

Mtalingolo

JF-Expert Member
Aug 4, 2011
2,181
409
Kulikuawa na panya watatu, walikuwa wakibishana kuhusu ujuzi wao na kila mmoja alijigamba kuwa yeye ni mjuzi zaidi yamwenzie,

Panya 1: mimi ni nouma, ninauwezo wakutegua mitego ya aina yeyote nitakayotegewa..

Panya 2: hahahaa mie ni zaidi ya hatari, naweza kunywa maziwa hata kama yamewekwa sumu...

Panya wa 3 akainamisha kichwa kwa muda afu akaanza kuondoka, wenza wakamuuliza kulikoni anaondoka wakati hajatoa ujuzi wake, akawaambia kuwa anaenda kufanya mapenzi na paka...
 
haha mkuu yako kidogo tofauti mwishoni kwenye panya wa tatu......umeongezea ama?
 
hii ni kama fasihi simulizi mkuu, hufundisha, huelimisha na kuburudisha jamii, inamana we hujabaini hata kimoja kati ya hvo vi3?

mjinga usimwambie maana...huenda hata hilo neno fasihi ni msamiati kwake au hajawahi hata kulisikia.....
 
P3 kaonyesha umwamba wakumbadili adui kuwa rafiki wa karibu sana
 
Back
Top Bottom