Panya Road wanipa Toto la Kigogo

Panya Road wanipa Toto la Kigogo

Athubutu kama atatoka. Jumba langu bila mimi kukufungulia, hutoki. Na kibaya zaidi kuna video unachukuliwa na zinakwenda kwenye server sehemu fulani. Sasa wewe jifanye Panya Jike Road....... Ila sirudii tena, nimeshaandika.

we unadhani panya rodi ni wanaume tu. subiri siku ifike
 
Jana nimejikalia kwangu, sijui hili wala lile, nakula mziki kwenye headphone zangu za AKG, nikasikia mtu anagonga mlango wa geti kwa nguvu sana. Nilipoenda kuangalia, naona m-Zigo umetua mlangoni na macho yamemtoka pima kwa woga Mtoto wa Mwanaume mwenzangu.

Nilifungua na Zigo mbio ndani hadi chumbani.

Nilimpa maji aoge na chakula akala na mie nikashukuriwa kwa kumwokoa kutoka mikono ya Panya Road wadhalimu.

Asanteni Panya Road, mmeifanya siku ya jana kuwa njema sana kwangu.... Labda nitachonga kabisa mzinga.

a42-21212406.jpg
Happy new year....

Kawadanganye wendawazimu wenzio. Yani from nowhere mwanamke anagonga mlango halafu hapo hapo unampa maji ya kuoga. Labda kama huyo alikuwa changudoa mwenzako siku nyingi.
 
Unajua ukienda Ahera ukamwambia Hitler kuwa Rais wa USA ana asili ya Kenya, atasema kama wewe chini.

Mnyamwezi nina bahati yangu. Zigo la Kigogo likatua chumbani kwangu.

Ohhhh, kuna vitu niliviruka na kuja na jibu la mwisho, samahani hapo kama hukuelewa maana tuliosoma Integration, huwa tuna Sum Up haraka sana ili kutokuwachosha wasomaji.

Kama unadhani niligonga mzigo, hell no. Huwa sifanyi hivyo siku ya kwanza au kabla sijajiridhisha kama Zigo linafaa kumuona Sikonge akiwa na Vazi la Adam. Ndiyo maana nimempa muda hadi weekend ijayo ndiyo tuonane.
Kama wewe hukuambulia kitu siku hiyo, pole sana. Next time na wewe utapata walau Kambale wakati wa mafuriko.

Happy New Year
Kawadanganye wendawazimu wenzio. Yani from nowhere mwanamke anagonga mlango halafu hapo hapo unampa maji ya kuoga. Labda kama huyo alikuwa changudoa mwenzako siku nyingi.
 
AND THE TRUTH WILL SET YOU FREE, Thomas!!!!!!!! Just wish me Bon Apetit, Techno Malewa with Mgogo, hahahaaa.



I will be the last one to believe this.
 
Last edited by a moderator:
where have you been babe?
happy new year

Ooh hey hun! I've been exploring several places around the world. How have you been?What's exciting?
Thank you, happy new year 2015.
P.S. I'm still waiting for our trip adventure. Your call darln!!
 
Ukiparamiwa siku ya kwanza, kuwa mkarimu kwanza. Unamyowa kidogo tu kujulisha uma kuwa kuna kuku.

Akirudi siku nyingine, mwenyewe bila kulazimishwa na PanyaRoad, basi ujuwe anataka kuchinjwa.

Na hapo sasa hutajuta kusubiri maana anakuja kajiandaa Umrukie....... Happy New Year .

Ukampanyalised usiku huo huo? wewe ni hataree Sikonge
 
Ooh hey hun! I've been exploring several places around the world. How have you been?What's exciting?
Thank you, happy new year 2015.
P.S. I'm still waiting for our trip adventure. Your call darln!!

happy new year babe..
read your pm...
 
Ukiparamiwa siku ya kwanza, kuwa mkarimu kwanza. Unamyowa kidogo tu kujulisha uma kuwa kuna kuku.

Akirudi siku nyingine, mwenyewe bila kulazimishwa na PanyaRoad, basi ujuwe anataka kuchinjwa.

Na hapo sasa hutajuta kusubiri maana anakuja kajiandaa Umrukie....... Happy New Year .

ha ha..nimekusoma ipasavyo yaani nizo mbinu ni kali kumbe umejipanga hivyo. Afadhali ulimpa msaada wa malazi&chakula kwa usiku ule, u mkarimu wewe. Happy New Year to you too, all the best!!
 
Jana nimejikalia kwangu, sijui hili wala lile, nakula mziki kwenye headphone zangu za AKG, nikasikia mtu anagonga mlango wa geti kwa nguvu sana. Nilipoenda kuangalia, naona m-Zigo umetua mlangoni na macho yamemtoka pima kwa woga Mtoto wa Mwanaume mwenzangu.

Nilifungua na Zigo mbio ndani hadi chumbani.

Nilimpa maji aoge na chakula akala na mie nikashukuriwa kwa kumwokoa kutoka mikono ya Panya Road wadhalimu.

Asanteni Panya Road, mmeifanya siku ya jana kuwa njema sana kwangu.... Labda nitachonga kabisa mzinga.

a42-21212406.jpg
Happy new year....

Hahahaaah,,,,,,,,Happy New Year Sikonge
 
Last edited by a moderator:
Jamani, hadi sasa sijapatikana bado maana mechi tumeiweka Kiporo kama Muhongo vile.

Sasa hivi Wapambe wangu wanakuanya data kujua kama ntakuwa nimepatabau nimepatikana.

Habari kamili subirini jumatatu ijayo.

BTW: Kuna mtu ana habari za karibu za tabia zao hawa Wagogo?

Kweli kabisa, wakati mwingine mtu unahisi umepata kumbe umepatikana...lol!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom