Panya Road wanipa Toto la Kigogo

Panya Road wanipa Toto la Kigogo

Jamani, hadi sasa sijapatikana bado maana mechi tumeiweka Kiporo kama Muhongo vile.

Sasa hivi Wapambe wangu wanakuanya data kujua kama ntakuwa nimepatabau nimepatikana.

Habari kamili subirini jumatatu ijayo.

BTW: Kuna mtu ana habari za karibu za tabia zao hawa Wagogo?

Uko serious kweli mkuu?

Jana nimejikalia kwangu, sijui hili wala lile, nakula mziki kwenye headphone zangu za AKG, nikasikia mtu anagonga mlango wa geti kwa nguvu sana. Nilipoenda kuangalia, naona m-Zigo umetua mlangoni na macho yamemtoka pima kwa woga Mtoto wa Mwanaume mwenzangu.

Nilifungua na Zigo mbio ndani hadi chumbani.

Nilimpa maji aoge na chakula akala na mie nikashukuriwa kwa kumwokoa kutoka mikono ya Panya Road wadhalimu.

Asanteni Panya Road, mmeifanya siku ya jana kuwa njema sana kwangu. Labda nitachonga kabisa mzinga.
Happy new year.

Hapo umepasahau Sikonge?
 
Last edited by a moderator:
Eeeeeeh, si nimesema nadhamiria kuchonga mzinga? Maana asali nilivyoiona tu, nikasema hii inabidi kufanya mpango wa kuionja na ikibidi kuwa nayo kabisa home for good.

Wewe mtu katoka huko mbio na woga wa mapanga ya Panya Road, unafikiri atajificha wapi? Ungelimuona alivyokuwa anatia huruma, hata wewe ungelimhurumia. Sikutaka kuwa Panya Home kwa kumparamia mtani wangu wa Kigogo siku ya kwanza tu. Hata hivyo, mie ni mpinzani mkubwa sana wa Waja leo, wampata leo. Hivyo, hata kama angelitaka, bado ningelimtolea nje.

Zigo limetulia, nataka kujua tabia zao ili kuangalia kama nivute kimoja au nifurahi tu na kuendelea na maisha.

BTW: Wewe Mgogo? Au na wewe Baby wako hakurudi home siku hiyo? Sema mie nijitoe.........

Ukiona maelezo yanakuwa mengi sana basi ujue kuna katatizo...lol!!

Basi nimekubali....
 
Haya sasa, burudika na kibao hiki na uone kama mie nilitia chumvi....

Ukiona maelezo yanakuwa mengi sana basi ujue kuna katatizo...lol!!

Basi nimekubali....
 
Last edited by a moderator:
Wakati mwingine wanaleta neema kwa binadamu. Inategemea tu siku hiyo umeamka vipi.

Ni sawa na Tanzania inavyolia kwa kukosa misaada na Wahisani, wengine wametajirika kwa Vi-Ruge kadhaa kutoka Mkombozi Bank au wamebeba Virambo kadhaa na Vilumpesa au mifuko ya sandarusi kutoka Stanbic Bank. Kufa kufaana.

Jambo limezua jambo.

Hawa panyarodi haawa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom