Panya Road wanipa Toto la Kigogo

Panya Road wanipa Toto la Kigogo

Jana nimejikalia kwangu, sijui hili wala lile, nakula mziki kwenye headphone zangu za AKG, nikasikia mtu anagonga mlango wa geti kwa nguvu sana. Nilipoenda kuangalia, naona m-Zigo umetua mlangoni na macho yamemtoka pima kwa woga Mtoto wa Mwanaume mwenzangu.

Nilifungua na Zigo mbio ndani hadi chumbani.

Nilimpa maji aoge na chakula akala na mie nikashukuriwa kwa kumwokoa kutoka mikono ya Panya Road wadhalimu.

Asanteni Panya Road, mmeifanya siku ya jana kuwa njema sana kwangu.... Labda nitachonga kabisa mzinga.

a42-21212406.jpg
Happy new year....

Kumbe wewe ndio uliacha nikatumiwa huu ujumbe
 
Balaa zaweza leta baraka! Kwenye mafuriko makubwa yaliyotokea huko Morogoro nyumba nyingi zilijaa maji.Mkazi mmoja aliyeikimbia nyumba yake alirudi jioni moja baada ya maji kupungua.Alipoingia kwenye nyumba yake alikuta kambale wamejazana kwenye sebule yake.
 
Ni kweli mie naishi Tabata, ila asubuhi nilimpeleka kwake Sinza. Hapo jirani anaishi shangazi yake.

unaishi tabata?
zigo usikute linakufahamu siku nyingi jana ndo limetumia chance....
 
Mhhhh, na wewe Mbeby wako ni Mgogo? Maana huyu wangu ni wa Mitaa ya Mvumi, wacha kabisa. Huyo wako labda alienda kwa boss maana alijibu haraka sana hii thread na alitumia uzoefu wa kupara-miwa.

Kumbe wewe ndio uliacha nikatumiwa huu ujumbe
 
Last edited by a moderator:
Takwenya Mama Yeyo, hii bahati hapana rudia mara mbili. Ikirudia, basi au utaibiwa au kuuliwa.

Kwa hivyo sichochei uhalifu kabisa. Ni sawa na msiba harusini au kupata deal msibani.....

mmh......mkuu acha kutamanisha watu

hivi unajua unachochoea uhalifu
 
Mie nimeweka picha, na wewe weka basi kuwa ni stoty ya kupika. Happy new year and just enjoy kupunguza machunhu ya escrow, kabla ya sukari na bomba la gas hayajaanza.

Story za kupika utazijua tu
 
Ni kweli kabisa BAK. Nilimuwekea mto, akapiga magoti kimila haswa, akasema "Asante Mtani wangu kwa msaada wako" Mtoto ana adabu sana na anapika wacha. Nilimwachia Kitanda mie nikachukua godoro la upepo, nikalala chini.

Pekupeku marukufu, shurti kwa zana Mkuu.
Kabanga, mbona nilimsaidia tu? Zile story za Msoga, mie huwa sifanyi siku ya kwanza. Kama Muhongo vile, nimemuweka/kaniweka Kiporo na tumekubaliana Weeknd ijayo aje mwenyewe bila kulazimishwa. Akija, sio kosa langu wala Panya Road.
Dah jamaa huna hata huruma???
 
Hahahahaa, kweli kabisa Mkuu. Wanyamwezi tunasema "kula kwa mbwa kupo miguuni mwake" au /kulya kwa mna mbwa kwihamagulu. Bahati mbaya kula nasubiri weekend.

Babu @Aspirin , shangazi wa Kigogo na yeye ni Zigo......

Ridhiki ya simba ipo miguuni mwake.....
 
Takwenya Mama Yeyo, hii bahati hapana rudia mara mbili. Ikirudia, basi au utaibiwa au kuuliwa.

Kwa hivyo sichochei uhalifu kabisa. Ni sawa na msiba harusini au kupata deal msibani.....

hufai kusomea mambo ya wokozi wewe
utawagonga sana victm
 
PanyaRoad walikuwa wanapita barabara kwa barabara. Kama unapoishi ni uchochoroni inaweza kuwa sawa. Binti kaamua kuchepuka na kuacha njia kuu.
 
Jana nimejikalia kwangu, sijui hili wala lile, nakula mziki kwenye headphone zangu za AKG, nikasikia mtu anagonga mlango wa geti kwa nguvu sana. Nilipoenda kuangalia, naona m-Zigo umetua mlangoni na macho yamemtoka pima kwa woga Mtoto wa Mwanaume mwenzangu.

Nilifungua na Zigo mbio ndani hadi chumbani.

Nilimpa maji aoge na chakula akala na mie nikashukuriwa kwa kumwokoa kutoka mikono ya Panya Road wadhalimu.

Asanteni Panya Road, mmeifanya siku ya jana kuwa njema sana kwangu.... Labda nitachonga kabisa mzinga.

a42-21212406.jpg
Happy new year....

we unadhani panya rodi ni wanaume tu. subiri siku ifike
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom