Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,021
- 142,920
Hapo tu ndio huwa namkumbuka JK na falsafa yake,..... "huu ni upepo tu utapita"
Kumbe interchange ya Ubungo badoHakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
Diaspora mwenye ushabiki kama huyu ndugu in hasara pantheticHakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
hivi ugonjwa anaoumwa Ndugai hauwezi kushambulia ubongo kweli ?
Sio vibaya kujipa matumaini.Mimi huku kitaa sioni kabisa kinachoendana na yanayosemwa humu JF!
Nachoona huku kitaa ni watu wanaopambana na hali zao kila siku.
View attachment 995985
Moto uko nahisi ni moto wa tofauti za vyama, moto wa tofauti za udini, ni moto ya tofauti ya uongozi wa sasa, moto wa tofauti ya kikabila na moto wa tofauti za ukandaPasipo na moto hapana moshi.
Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.
Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?
Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?
Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Usalama wa siieijii Uko hatarini mbaya zaidi hawezi kuchomoka kwasababu yuko chini ya himaya yaoCAG ana siri nzito
Special audit report kuhusu matumizi ya trilioni 1.5 ambayo Spika ameikalia kwa mujibu wa Zitto, inaweza ikawa ni tone tu katika bahari.
Subirini ripoti ya CAG ya 2017/2018 hii inaweza kuwa ni atomic bomb lenye madhara kama lille la Hiroshima nchini Japan.
Naomba CAG akomae na asitetereke katika hii vita.
Colombia Colombia Colombia Colombia colombia music oooooooooPasipo na moto hapana moshi.
Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.
Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?
Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?
Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
“Pathentic” 🤣🤣🤣
Hakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
Kwa mara ya kwanza leo nimekupa like. Taratibu tunaanza kuongea lugha moja.Pasipo na moto hapana moshi.
Je, kuna moto unawaka chini kwa chini Tanzania? Maana moshi kila sehemu.
Cha kujiuliza ni kutafakari, huu moshi unaofuka kila sehemu ni wa mazingaombwe tu na hakuna moto au kuna moto kweli uliowaka au uliowashwa lakini zimamoto yetu haiuoni au tunaoamini kuwa ndiyo zimamoto wetu shupavu wao ndiyo wapepeaji wa huo moto?
Moto upi? Unawaka wapi? Utamuunguza nani na nini? Unaweza kuzimika? Au tunaweza kuuzima wenyewe? Au tunahitaji msaada wa kuuzima huu moto?
Wewe unauona huo moshi? Au tayari unauona moto?
Bila udikteta hii nchi haiendi..tunahitaji kiongozi mwenye maamuzi magumu zaidi..huyu magu bado anachekacheka..
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hilo ndiyo tatizo kubwa la waTz, asilimia kubwa ya watu wako gizani kwa mambo mengi sana. Hata kukiwa na moto, watakaouona ni wachache na hata wale wachache watakaouona, bado ni wachache pia watakua concerned. Ni raha sana kuongoza watu wa aina hii.Hakuna Moshi. Hakuna moto.
Kilichopo ni kelele za mitandaoni tu.
Uraiani watu wapo kawaida tu wakiendelea na mishe mishe zao.
View attachment 995933
Una dodosa vyema,nasita kuchangia kwani bandiko lako laweza pelekwa pasipo julikanaPasipo na moto hapana moshi.