Panapofuka Moshi panaficha Moto - maluv dav!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Panapofuka Moshi panaficha Moto - maluv dav!!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mama Mdogo, Sep 29, 2012.

 1. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,866
  Likes Received: 437
  Trophy Points: 180
  Wandugu wapenzi, ebu naommba mwongozo, nimpe ushauri gani huyu baba aliyeko ndani ya maji akiwavuta hao farasi anaonekana kuchanganyikiwa maana Panapofuka Moshi panaficha Moto; ajira yake hii ilimtia majaribuni na mafadhaiko makubwa.  truly-weird.jpg
   
 2. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #2
  Sep 29, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Yeye anavuta farasi, kaonaje yanayoendelea nyuma yake? Avae mawani ya mbao kisogoni basi aache kuona rear view.
   
 3. Watu8

  Watu8 JF-Expert Member

  #3
  Sep 29, 2012
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 47,334
  Likes Received: 2,652
  Trophy Points: 280
  we huoni mibusu motomoto hiyo lazima iambatane na ngurumo kali kama misonyo vile
   
 4. JICHO LA TATU

  JICHO LA TATU JF-Expert Member

  #4
  Sep 29, 2012
  Joined: Sep 28, 2012
  Messages: 307
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Ndo ajira hiyo lazima apige moyo konde
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Sep 29, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  panapofuka Moshi pana Kilimanjaro.
   
 6. telitaibi

  telitaibi JF-Expert Member

  #6
  Sep 29, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 553
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  haha marupurupu ya kazi hayo
   
Loading...