Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,731
- 107,175
- Thread starter
- #141
Kwa hizo vitu zote umetaja, Tanzania inaizidi Kenya kwa lipi?Ufunguzi na ufungaji unazingatia mambo mengi sio tu uwanja ndugu, infrastructure (transport and communication facilities), hospitality, peace, etc. Sasa jamaa zetu wanafeli hapo tu, na ukizingatia Pamoja Afcon itachezwa mwaka wa uchaguzi huko kwao.
hebu tuonyeshe BRT yenyu!Kwa hizo vitu zote umetaja, Tanzania inaizidi Kenya kwa lipi?
Tatizo barabara ya kutoka KIA kwenda Arusha haitakuwa imekamilika!Arusha itakuwa superhub sana! Everything will be higher, You Know 🙏🏾
Yeah, You Know! Hata gharama ya majengo itaongezeka 😁🙏🏾Tatizo barabara ya kutoka KIA kwenda Arusha haitakuwa imekamilika!
So that is the reason? Hii brt watu wamefinyika kama gunia za mahindi ama kuna brt nyingine?hebu tuonyeshe BRT yenyu!