Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,910
- 103,771
- Thread starter
- #121
Ufunguzi na ufungaji unazingatia mambo mengi sio tu uwanja ndugu, infrastructure (transport and communication facilities), hospitality, peace, etc. Sasa jamaa zetu wanafeli hapo tu, na ukizingatia Pamoja Afcon itachezwa mwaka wa uchaguzi huko kwao.Kenya itafungua na itafunga haya mashindano Hiyo kiwanja inajengwa ni moto Talanta 🥴
Naomba kuoa dada yako mkuu ili tuwe Ndugu..Kenya itafungua na itafunga haya mashindano Hiyo kiwanja inajengwa ni moto Talanta 🥴