Paloma afiwa na mama yake mkubwa...

Paloma afiwa na mama yake mkubwa...

Poloni sana Paloma[MENTION]Sosoliso[/MENTION] na wanafamilia wengine kwa msiba huo wa mama mama mkubwa, Mwenyezi aendelee kuwapa faraja yake katika kipindi hiki kigumu na cha mpito.
 
Last edited by a moderator:
Kaizer huku kwetu TANGA ndo wanasema hivyo, hawasemi kufiwa wanasema kufiliwa.....poleni sana Paloma na sosoliso Mungu awafanyie wepesi wa mioyo kuukabili wakati mgumu.

Ahsante KOKUTONA.. Huyo Kaizer ya Tanga atayajulia wapi wakati anaiogopa Tanga.. Ati ule msemo waja leo waondoka leo wamtisha sana mbwanga huyu..
 
Last edited by a moderator:
Ahsante KOKUTONA.. Huyo Kaizer ya Tanga atayajulia wapi wakati anaiogopa Tanga.. Ati ule msemo waja leo waondoka leo wamtisha sana mbwanga huyu..

hahaha sosoliso KOKUTONA apo kanambia 'wanavyosema' lakini haimaanishi kwamba ni sahihi. Usahihi unabaki 'kufiwa' sio 'kufiliwa'

umeshatoka msibani? Ujue nina hisa nyingi sana Tanga...kuanzia Korogwe hadi sahare
 
Last edited by a moderator:
hahaha sosoliso KOKUTONA apo kanambia 'wanavyosema' lakini haimaanishi kwamba ni sahihi. Usahihi unabaki 'kufiwa' sio 'kufiliwa'

umeshatoka msibani? Ujue nina hisa nyingi sana Tanga...kuanzia Korogwe hadi sahare

jaman tena za kumwagaaa
 
Last edited by a moderator:
Mwenyenzi MUNGU mwenye huruma nyingi awape nguvu kipindi hii cha majonzi kwani hakika anauwezo.

Copy kwa Paloma
 
Last edited by a moderator:
hahaha sosoliso KOKUTONA apo kanambia 'wanavyosema' lakini haimaanishi kwamba ni sahihi. Usahihi unabaki 'kufiwa' sio 'kufiliwa'

umeshatoka msibani? Ujue nina hisa nyingi sana Tanga...kuanzia Korogwe hadi sahare

Unavyojifagilia....najua hii ni sbb mke mwenzangu ndo vilee.....mbona nimekushtakia Arushaone mchokozi hujamdisiplini?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom