Paloma afiwa na mama yake mkubwa...

Paloma afiwa na mama yake mkubwa...

Pole sana Paloma. Mungu awatie nguvu na moyo wa subra ndugu jamaa na marafiki katika kipindi hiki cha majonzi.
 
Last edited by a moderator:
ohoo bestito sikujua mie pole sana bestito Mungu akutie nguvu na awe faraja kwenu hapo nakutakia safari njema pole sana best wangu
Paloma amepata msiba wa mama yake mkubwa.. Amefariki ghafla leo alfajir kwa high BPi.. Mazishi ni kesho Lushoto..
Mungu ailaze roho ya marehem peponi..
Pole sana Paloma..
 
Wapendwa asanteni sana! Amepumzishwa tayari kwenye nyumba ya milele....Mlalo Lushoto! Ni ngumu kuamini ukizingatia ilikuwa ghafla sana! By the time anafikishwa hospital naye ndio akavuta pumzi ya mwisho! Hatuna budi kumshukuru Muumba na kukubali! Nawashukuru wote wapendwa wangu! Mniwie radhi siko vizuri kiasi!
 
ndio na amezoea sasa sosoliso. Kila mara aniona mnyonge wake ninavyomsamehe

Loh.. Mbona anatuaibisha sana wanaume wenzie huyu..! Hebu fikisha malalamiko kwa Mwenyekiti Baba V.. Hajui wenzie (namaanisha nitonye hapa) wanajiuliza watakipata lini kama yeye akisema cha nini..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom