Paloma afiwa na mama yake mkubwa...

Paloma afiwa na mama yake mkubwa...

Mods naomba mbadilishe heading isomeke "Paloma afiwa na mama yake mkubwa"..

Maana balaa..
 
Pole sana palomo. Msiba upo lushoto sehemu gani? sosoliso plz nitumie namba yako au ya mkeo ili niende msibani hapo kesho.

Mazishi yatafanyika Mtae YNNAH.. Ila Paloma hajisikii vzuri cna uhakika kama ataondoka hiyo asubuhi..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom