Pole Paloma, poleni wafiwa!
sosoliso 18:38 Today Paloma amepata msiba wa mama yake
mkubwa.. Amefariki ghafla leo alfajir
kwa high BPi.. Mazishi ni kesho
Lushoto..
Mungu ailaze roho ya marehem
peponi.. Pole sana Paloma.. a
SINA HAKIKA KAMA SIJASOMA VIZURI HEADING
YNNAH asante mpenzi! asante sana kwa utayari wako na Mwenyezi Mungu akubariki sana!
RIP
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Mzee kiswahili kigumu nacho acha tu...............asante sana!Hiyo heading imekaa ki liberali.
Poleni sana Wafiwa.
Niungane nawe my wife kumpa POLE Paloma. Niwakilishe dia!
Nashukuru.....lorry lako la kabeji limeteleza na kuanguka na kuziba njia mpwa Elli, watu ndo wanaingia majumbani now!
Dereva wako mlevi jamani asubuhi tuuu bwii!!! mpwaaaaa