Paloma afiwa na mama yake mkubwa...

Paloma afiwa na mama yake mkubwa...

sosoliso

Platinum Member
Joined
May 6, 2009
Posts
8,543
Reaction score
9,480
Paloma amepata msiba wa mama yake mkubwa.. Amefariki ghafla leo alfajir kwa high BPi.. Mazishi ni kesho Lushoto..
Mungu ailaze roho ya marehem peponi..
Pole sana Paloma..
 
Last edited by a moderator:
mkuu sosoliso pamoja na kukupa pole lakini kiswahili sio "kufiliwa" ni "kufiwa" waombe mods warekebishe heading
 
Last edited by a moderator:
sosoliso 18:38 Today Paloma amepata msiba wa mama yake
mkubwa.. Amefariki ghafla leo alfajir
kwa high BPi.. Mazishi ni kesho
Lushoto..
Mungu ailaze roho ya marehem
peponi.. Pole sana Paloma.. a
SINA HAKIKA KAMA SIJASOMA VIZURI HEADING
 
Pole sana palomo. Msiba upo lushoto sehemu gani? sosoliso plz nitumie namba yako au ya mkeo ili niende msibani hapo kesho.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom