Palestine thanks Tanzania for support at UN


Sasa upumbavu wako umekuacha, nawe umeamua uzi uwe Kanisa. Mwanzo alikuwa ni pepo kama nilivyokwambia. Ila mwambie huyo kibanga Ampiga Mkoloni uliyemtuma kuwa naye pepo lake litaondoka tu katika Jina la Yesu.

Ila unahitaji maombi zaidi, manake hata Yesu alikuwa Myahudi. Kwa hiyo ni wazimu kuamini kuwa alitoka kwa shetani. Mungu akupe hekima upate kuuona ukweli
 
Last edited by a moderator:
If you think God can protect you why not just close your eyes and walk for God will direct your path?

so what is the use of Israel god if he cant protect them.
THESE JEWS DEPENDS MORE ON AMERICA THAN THEY DEPEND ON THEIR GOD.
 

Elungata you need to humble yourself to God for him to get you out of that pit of staggaring faith....Wakati ule wa kikombe cha babu tulibishana sana ukakataa na kuja na shuhuda kibao oooh so and so alipona...What I can see is you being swayed by winds of faith kutokana na kukosa misingi katika neno la Mungu..Naomba Mungu sana akusaidie maana umefikia kipindi cha kukata tamaa hasa baada ya babu kuku-disapoint ndiyo maana unaanza kuamini uzushi wa watu wanaopingana na ukweli wa Mungu. It mean ulikuwa unatafuta ukweli and at a very right point shetani akakudaka mzima it is only by God's grace utatoka kwenye hicho kifungo otherwise you are a very good candidate wa cult groups if you are not yet in there...May God have mercy on you!
 

Luka 10:38-42

Ikawa katika kuenenda kwao aliingia katika kijiji kimoja; mwanamke mmoja jina lake Martha akamkaribisha nyumbani kwake. Naye alikuwa na umbu lake aitwaye Mariamu, aliyeketi miguuni pake Yesu, akasikiliza maneno yake. Lakini Martha alikuwa akihangaika kwa utumishi mwingi; akamwendea, akasema."Bwana, huoni vibaya hivyo ndugu yangu alivyoniacha nitumike peke yangu? Basi mwambie anisaidie." Bwana akajibu akamwambia, "Martha, Martha, unasumbuka na kufadhaika kwa ajili ya vitu vingi; lakini kinatakiwa kitu kimoja tu; na Mariamu amelichagua fungu lililo jema, ambalo halitaondolewa."

​

Swali lako ni hilo hilo tu au una kingine? Manake aya inasema kuwa aliketi miguuni pa Yesu akisikiliza maneno yake. Na jambo hilo lilikuwa jambo bora.

What are you trying to insinuate?
 

watch out ,you ignorance is showing.
Am asking you why was jesus So close to mary.dont sidestep the issue.
 
Last edited by a moderator:

 

Wapalestina waache ugaidi na siasa za maji taka and am for Israel 200%
 

WHAT?kikombe cha babu tena.tangu lini nikamuunga mkono huyo mchungaji mchawi?kwanza sidhani hata kipindi hicho nilikua nimeshaanza kupost hapa.HEBU NIWEKEE HIYO POST KAMA UNA UHAKIKA.
Sinaga imani za kipuuzi kama hizo.UNAZUSHIA MEEEN.
 
watch out ,you ignorance is showing.
Am asking you why was jesus So close to mary.dont sidestep the issue.

Ignorant is the one who can not tell whether the glass is half empty or half full.

Kwa maoni yako:
1. Was Jesus close to Mary or
2. Mary was close to Jesus?

Hii hoja yako nimekujibu tayari hapo juu tazama majibu yangu acha kulalama. Sina kitu cha ku- side step hapo. Au ngoja nikupestie hapa hapa.


Enhe, what is wrong?
 

Wewe ni mkristo alaf hujui nafasi yako kwenye dunia hii???
Support Israel kwasababu nyingine ila please sio kwa imani yako kwasababu Jews hawamtambui kristo wako hta kidogo. They are still waiting for their Mesiah.
Sasa huwa nashanga Mkristu unaye jaribu kujpendekeza kwa watu ambao wanakuona mzandiki, mzushi.

...I beg to differ, Membe has to tell us sisi wakristo inakuaje atu by pass kwenda kupingana na imani yetu?
Wakristu gani hao? Imani gani hiyo?
 

eeh..mr mtoka pabaya why was she so speacial kwa huyo mary magdalena hadi akamkatalia asiende kumsaidia dadake martha kupika.
ISITOSHE KWENYE LAST SUPPER huyo mary alizidiwa na upendo hadi akampaka mafuta.
What really was going on between the two.
 

In tanzania, the curse will be for Membe and his followers.
 
Reactions: Ame
inahatarisha vipi uwepo wa vatican?wayahudi wana iman yao na kitabu chao tofauti na wakatoliki.
Kwanini nyerere na ukatoliki wake aliipinga israel na siasa zake za kuiba ardhi ya palestine.

ndugu yangu nenda google halafu fanya research juu ya vitu hivi;(1)roman-jewish wars,(2)jewish diaspora(3)why romans hate jews(4)vatican jerusalem agenda.
kwa ufupi habari ya wapalestina na israel ina player wa tatu ambaye ndiye hasa adui wa israel na amekuwa akiwatumia wapalestina kama chambo tu.player huyo ni Vatican.swali lako ni zito sana.jibu lake litaingiza mambo makubwa hapa.kwa muda mrefu warumi wanaitaka jerusalem.Usichokijua wewe ni kuwa Roman empire bado ipo na ina nguvu sana,imebadilisha jina tu.Naomba niishie hapa maana nikiendelea ntagusa imani za watu.we soma hizo topic hapo juu utagundua mengi mwenyewe.Kwa wakristo kama mie nawakumbusha tu..KIKULACHO KINGUONI MWAKO!
 

i will search.
 
eeh..mr mtoka pabaya why was she so speacial kwa huyo mary magdalena hadi akamkatalia asiende kumsaidia dadake martha kupiga.
ISITOSHE KWENYE LAST SUPPER huyo mary alizidiwa na upendo hadi akampaka mafuta.
What really was going on between the two.

What a silly question? Sijui ni nini unataka kusema. Mary alizidiwa na upendo maana yake nini?

Kumbe wewe ni Muislamu?! Ni wao ndio nimezoea kuona wakiongea hovyo hovyo na hoja zisizo na msingi. Yule ni Mariamu Magdalena?

Wewe ulitaka kiwe nini kinaendelea? Yesu alimpenda Simon Bar-yona pia. Alimpenda zaidi ya mitume wake wengine kiasi akamkabidhi kanisa, huyo naye tusemeje?

Labda uweke hili swali lako namna nyingine lieleweke vyema
 

wewe usione soo mbona hayo mambo ya kawaida sana.naona unazidi ku beat arround the bush.
Ila ujue kijana yeyote anaekua hadi anafikia umri wa miaka 30.lazima anakua na mtu wake wa karibu au siyo.viginevo labda awe na matatizo fulani kwahiyo usione soo kuadmit.
 

mie budha.
Na yule ambae alikua haishi kumuegemea kifuani anaitwa nani kweli?yohana ama peter.dah nilishaanza kusahau.
 

mie budha.
Na yule ambae alikua haishi kumuegemea kifuani anaitwa nani kweli?yohana ama peter.dah nilishaanza kusahau.
 
mwanamtwa vipi tena? Wana ccm wa zanzibar walikua wamelala, sasa wameamka. Kaka hapo mbali hapo?

I don't think so. They were awake and taking care of Zenji to date.
 
So is Palestinian-Israel crisis about whats in the Holy Book? Who's land is mentioned in the Holy Books?

THE QUR'AN SAYS:

"To Moses We [Allah] gave nine clear signs. Ask the Israelites how he [Moses] first appeared amongst them. Pharoah said to him: 'Moses, I can see that you are bewitched.' 'You know full well,' he [Moses] replied, 'that none but the Lord of the heavens and the earth has revealed these visible signs. Pharoah, you are doomed.'"

"Pharoah sought to scare the Israelites out of the land of Israel: but We [Allah] drowned him [Pharoah] together with all who were with him. Then We [Allah] said to the Israelites: 'Dwell in this land, the Land of Israel. When the promise of the hereafter [End of Days] comes to be fulfilled, We [Allah] shall assemble you, the Israelites, all together in the Land of Israel."

"We [Allah] have revealed the Qur'an with the truth, and with the truth it has come down. We have sent you [Muhammed] forth only to proclaim good news and to give warning."

[Qur'an, "Night Journey," chapter 17:100-104]​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…