Tango73
JF-Expert Member
- Dec 14, 2008
- 2,227
- 1,362
BADO HAWATUOMBA MSAMAHA NA MEMBE NDIYO KWANZA ANJIPENDEKEZA KWA WAARABU. Sijui taifa letu linatafuta nini kwa mataifa ya kiarabu mpaka kuja leo kumsaidia mpalestina kiasi hicho.Hivi waliwahi kutuomba radhi kwa kumsaidia Idd Amin atupige vita ya Kagera?
Kumbuka mwaka 1976 Tanzania ililaani sana kitendo cha Israeli kuokoa mateka wake pale Entebe. Tena matusi yaliyoyotolewa na balozi wetu hapo UN, yalikuwa yanatisha sana. Yaani kwa upande mwinginewe, Tanznaia ilitaka wale mateka wa kiisraeli wauwawe pale entebe. HIi yote ni kujikomba kwa mataifa ya kiarabu.
Halafu kama hiyo haitoshi, tanzania ikaweka palestinian Day. Sherehe hii ilikuwa inazunguka mikoani kila mwaka na mikoa yenye wakristo wengi tuu ili wakiuke ukweli wa biblia unavyotaka kuhusu haki ya Israeli. Hii yote ilikuwa kujikomba na kujionesha katika vikao vya NOn alignment movement(ambako yamejaa mataifa mengi ya kiarabu)kuwa sisi ni the best anti wentern na antisemitism wakutupwa.
Sasa hivi unemployment katika west benk palestina ni 5% Gaza ni 35%. Kwa maana hiyo wapelestina wapo vizuri kimaisha kulkiko wakzi wa mtwara, Lindi, Ruvumana katavi. Ila Tanzania unemployment ni 65% yaani tupo mahala pabaya sana kimaisha na mikoa mingi haina hata day worker. Sasa badala ya kuweka urafiki na Israel ili watu shushie viwanda na kufanya investment za nguvu kama walivyofanya Kenya, sisi hatutaki na kila kukicha ni kuwatukana wa Israel kwa niaba ya waarabu.
Hii kama siyo laaana ni kitu gani? Yaani kuwa na viongozi wasiojali maslahi ya raia zake, ila kila kukicha kudai maslahi ya wapalestina! sasa angalia msimamo wa Tanzania kuwasupport wapalestina huko UN wiki iliyopita, kuna mslahi gani ki uchumi? mimi sioni lolote lile mbali ya kuonekama komba komba-boys!