Pale ungo unapofeli..

Pale ungo unapofeli..

Mgonjwa wa akili yupo uchi na hirizi kiunoni? Huyo ni mchawi lazima ashangae si ajali imeshatokea.....
 
Daaaah!!!!

Ilo bibi lilivyo Nona lingeangukua kwangu......
 
Hawa watu wanasingiziwa.

Ukichunguza vizuri haya matukio unakuta watu wanaotuhumiwa ni wagonjwa waakili. Inasikitisha watu wamefungwa na uelewa mdogo wa mambo wanawaza ushirikina tu.

Huyo bibi anaonekana na yeye anashangaa. Mgonjwa huyo....anafanya hayo watu wanadhani mchawi/mlozi au vyovyote watakavyomwita

Yaonekana ni Bibi yako else unaye kama huyo kwenye ukoo. Wapo wengi sana wa aina hiyo kwani kwenye ofisi yenye Magrili na askari kama sita wanalinda jamaa kama huyo alikutwa ndani wakati mesenja anafungua ofisi asubuhi kwa usafi!! that is the reality
 
Back
Top Bottom