Lakini wakike[emoji106]kumbe hizo cheni kiunoni zinavaliwa na wanga...
[emoji15]Ningependa angeangikia kwangu huyu bibi siiti MTU tunamalizana namuachia aende zake
Ndugu mimi sipingi imani zao wale wanaowaza hivyo lakn bado elimu yakujitambua ajatufikia wengi huyo bibi sio mchawi basi tu!Wengine wagonjwa wa akili tu. Wana dementia na/au Alziheimer hata hawajitambui wako wapi basi Waswahili siye tunawasingizia uchawi. Aibu!
Sitaki kuamini umeshamtani?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ningependa angeangikia kwangu huyu bibi siiti MTU tunamalizana namuachia aende zake
Hawa watu wanasingiziwa.
Ukichunguza vizuri haya matukio unakuta watu wanaotuhumiwa ni wagonjwa waakili. Inasikitisha watu wamefungwa na uelewa mdogo wa mambo wanawaza ushirikina tu.
Huyo bibi anaonekana na yeye anashangaa. Mgonjwa huyo....anafanya hayo watu wanadhani mchawi/mlozi au vyovyote watakavyomwita
Mungu wangu hapa kidogo umepitiliza mjingamimi japo najua hukuwa na nia mbayaBibi yake mshana jr