Singo
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 1,210
- 1,166
Mbeya haina wanyakyusa pekee(isije ikawa umewaona wasafwa,wanyiha ,wamalila nk ukadhani ni wanyakyusa ),pia kyl na tky ambako ndio wilaya hasa za wanyakyusa hawalimi viaziHaswaaa naona mkono wa kuchimba viaz kabisa huo huyo dada ndio wale wauza viaz pale mwanjelwa