Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Kabisaaa
Kabisaaa
Tutakupa mabanzi, si unatujua tulivyo fit[emoji13] [emoji13]
Kwenda zako, kaoneeeJamani mwenzenu namtafuta Heaven Sent nina shida nae sana atakayemuona popote amwambie anipigie
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndaga malafyale
Haha nimeona tu like yako nikajichekeahahahaha nilikua nataka kukuita! hahaha nimecheka kwakwel
Sipooooo
Na mwanaume wa dar
Wa darIla huyo wanaume atakuwa wa sehemu gani maana yuko soft au wa jiji letu pendwa
Are you serious? Mtoto wa miaka kumi alifungaje ndoa?Hiyo picha ni ya bibi wa miaka 60 aliyefunga ndoa na mtoto wa miaka 10 nchini South Africa au Zimbabwe kama sikosei, ilisambaa sana kwenye mitandao