Kidoo: Wanawake tukiomba tendo tunaonekana wahuni

Kidoo: Wanawake tukiomba tendo tunaonekana wahuni

Nyendo

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2017
Posts
1,421
Reaction score
5,024

Eti wadada, kuna ukweli kwamba jamii yetu bado iko na dhana ya kumuona mwanamke muhuni pale anapoomba tendo la ndoa hata kama ni haki yake akiwa ndani ya ndoa!? Wewe ni lini mara ya mwisho umeomba tendo kwa huyo mpenzi wako!?
 
Kuomba direct nayo ni ajabu
Sio kweli.. we tuombe uone itakuwa vp

Tumebadilika kidogo

Kuuza hisia kwa mtu anayetumia maumbile kama mboko haivutii tena.!

Me napendaga sana nikichapa mtu ananiangilia kwa macho huku anataka nimchape zaidi.!

Ile greedy yakusema ichape unavyotaka kama yako..! inaharibu utimamu wangu.! 🤗
 
Watakuelewa watakaoweza kuomba
 
Sio ajabu kwa mwanamke kuomba mjulubeng. Ni haki yake kuomba mic na kuimba vizuri.
 
Kiukweli tangu nianze mahusiano ni mara 1 tu ndio nimeomba ila mara 100000000 napewaga direct kwanza dem akikuomba aisee raha sana
 
Kwa aina ya vijana wa kiume wa kileo hakika wanawake mna kazi kubwa sana.Ninyi zubaeni tu mjidai mna maadili na aibu mlale na viatu vichafu.Msipoomba moja kwa moja,basi tumieni mbinu za kimikakati mpate mambo.Vijana wa kileo hawajali wala hawana habari msipokuwa makini.
 
Unataka kusema nini??
 
Back
Top Bottom