PNC
JF-Expert Member
- Feb 3, 2015
- 8,105
- 14,356
acha povu mfuasi wa allahAcha taarabu wewe,umeleta mada wacha kila mtu achangie kwa mtazamo wake,hii ni open forum,usitake tukaivuruga hii thd.
acha povu mfuasi wa allahAcha taarabu wewe,umeleta mada wacha kila mtu achangie kwa mtazamo wake,hii ni open forum,usitake tukaivuruga hii thd.
Pakistan ni nchi ya kiislam hapa kwetu haitotokea, sema jengine.Nchi ya Pakistani yapiga marufuku kusherehekea sikukuu ya Valentine nchini humo. Mahakama kuu nchini humo imetoa tamko, ni marufuku kabisa kusherehekea sikukuu hiyo hata media za nchini humo hazitakiwi kuizungumzia sikukuu ya Valentine kwanamna yoyote ile kwani kufanya hivyo ni sawa na kuunga mkono tamaduni za kimagharibi.
Je, mdau wewe umepokeaje katazo hili la Serikali ya Pakistan? Je ingekuwa hapa kwetu unahisi nini kingetokea?
Karibuni kwa mjadala
Chanzo: BBC Swahili
WanafikiHao hao kila siku wanalilia kwenda magharibi hao hao hawataki tamaduni za magharibi
Hebu msaidie muumi'nin mwenzio kutuambia Asili ya birthday ya Muhammad ("MAULID")Hakiha ulichokiandika mkuu kibamantiki, wengi humu hawajui chochote kuhusu hiyo siku, wanafuata tu upepo
Hebu msaidie muumi'nin mwenzio kutuambia Asili ya birthday ya Muhammad ("MAULID")
Kwangu mimi Maulid na Valentine day hazina tofauti hata kidogo kwasababu hata hiyo Maulid hujui asili yake weyee.
hilo bichwa kwenye avatar yako km wwWewe kilaza kweli.
Hapo ndio umejibu maswali yangu kwa hoja?
Hivi una uelewa kweli?Ukihitaji tofauti, jitofutisha kwanza wewe na wenzio baada ya ugamzi nafikiri hutauliza tena tofauti
Hivi una uelewa kweli?
Mimi nimeshamwambia nduguyo kuwa kwangu Valentine day na Maulid day ni sawa.
Nimehitaji atuambie asili ya Maulid ili kutofautisha na siku ya Valentino halafu wewe unaniambia tena nitofautishe.
Nitofautishe wakati naziona zipo sawa tu na nimeshalisema hilo?
Maulid ni birthday ya bwn. Mu ammad Ibn Abdullah, maarufu kama Muhammad (S.A.W)Unahitaji niwe na uelwe aina gani?
Uelewe wa utambuzi 100% ninao nafikiri wewe ndiye uelewe umekita nchani.....
Maulidi ni birthday na Valentine ni nn?
Upofu hauliwazwi kwa kupapasa
Mkuu achana nae huyo punguani,fuse yake moja ninayo huku.Unahitaji niwe na uelwe aina gani?
Uelewe wa utambuzi 100% ninao nafikiri wewe ndiye uelewe umekita nchani.....
Maulidi ni birthday na Valentine ni nn?
Upofu hauliwazwi kwa kupapasa
Maulid ni birthday ya bwn. Mu ammad Ibn Abdullah, maarufu kama Muhammad (S.A.W)
Valentine day ni siku ya kukumbuka Upendo aliouonesha Saint Valentino wa kuwajali wenzetu kwa namna mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuwajali wasiojiweza na yatima.
Sasa birthday ya mtu mmoja na hilo alilofanya Valentino ni lipi la muhimu zaidi?
However, bado hujanijibu maswali yangu ya msingi
1) Asili ya Maulid ni wapi?
2) Na hao wanaoisheherekea Maulid hawajafuata mkumbo tu kwa wazazi wao na waumin waliowatangulia?
Kwa mujibu wa taratibu za uislam sikukuu hii hatuitambui kabisa yani kwa hiyo Pakistan kama nchi ya kiislaam sioni ajabu sana. Pia kwa upande wa pili kama ingezuiwa hata hapa Bongo mi naona kusingetokea chochote tofauti na kufuata sheria bila kushurutishwa. Na wala haina faida kwa lolote ndo maana unaona shughuri za kiserikali zinaendelea kama kawaida. Kwani upendo inabidi tupeane kila kukicha.....napenda kuwasilishaNchi ya Pakistani yapiga marufuku kusherehekea sikukuu ya Valentine nchini humo. Mahakama kuu nchini humo imetoa tamko, ni marufuku kabisa kusherehekea sikukuu hiyo hata media za nchini humo hazitakiwi kuizungumzia sikukuu ya Valentine kwanamna yoyote ile kwani kufanya hivyo ni sawa na kuunga mkono tamaduni za kimagharibi.
Je, mdau wewe umepokeaje katazo hili la Serikali ya Pakistan? Je ingekuwa hapa kwetu unahisi nini kingetokea?
Karibuni kwa mjadala
Chanzo: BBC Swahili
Wewe kisukule cha Abou sufian...hujatawadha bado eeh [emoji23]Mkuu achana nae huyo punguani,fuse yake moja ninayo huku.
Ni kweli mkuu kuwa watu wanaichukulia siku hii ya Valentine day kingono na kiuhusiano wa kingono tu ILA in real sense haikuwa hivyo.Asili ni mashariki ya kati.
Sherehe ya kuzaliwa na maadhimisho ya upendo....hivi vitu viko tofauti.
Kufananisha au kusogeza ufanano naona hapo unakuwa mkunjo. Kwa unyoofu ni hivi kuzaliwa ni hatua kuu kwa mwanadamu......kupitia katika makuzi yake hilo la upendo na utashi hufuata na wengineyo hukosa kabisa.
Maulidi asili ni mashariki ya kati - ni maadhimisho/shereheo. ukija sema maulidi ya mtume ni maadhimisho ya kuzaliwa kwake.
Pia maulidi hutumika kama vile mapokeo/kusherehesha....mfano mapokeo ya mwezi wa ramadhani=hufanya maulidi kwa kusherekea.
Valentine day -----tunakita kwenye Upendo (maadhimisho). Pia mapokeo yetu sisi tumepelekea moja kwa moja kwenye ngono. ila Mr Valentino aliitumia siku hii kwa upendo(kufariji na kufurahi pamoja)
Hapo uchukue forklift ulazimishe kuleta mfanano naona kama ule ukurutu kwenye unga mweupe bado unaanika kwenye jua la alasiri upike saa 12 jioni.
Wewe kiukweli cnc umezijua hizi ckukuu za valentines zimekusaidia nini? Kama Co kuchepuka? Does t mean huwa watu hampendani mpk valentines or wat?Trump akiwapiga marufuku wanaanza kulalamika
Wewe nadhani ni punguani haupo sawa,umekaa unauliza viswali vyako vya kipuuzi puuzi halafu ulivyo na uelewa mdogo na kichwa kisichoweza kutunza kumbukumbu umekuja kujijibu wewe mwenyewe kwenye post #77Wewe kisukule cha Abou sufian...hujatawadha bado eeh [emoji23]
.