Pakistan yapiga marufuku Valentine Day

Pakistan yapiga marufuku Valentine Day

6b85cfbf0be0d06f357439c8dc1d4747.jpg

Nchi za kiislamu tuwaachie mambo yao
 
Waafrika tunaushabiki Sana valentine haina maana ya upendo kama mnavyofikiria na rangi ya red si upendo kama wengi wanavyodanganywa tieni shule hivi vituvisivyo na maana viachwe vipite kwani sherehe ziko ngapi kwa mwaka? Upendo ndo uwe siku moja
 
Wewe ni kilaza huna hoja zenye mashiko

Unamdis Saint Valentino huku ukisahau kuwa hata Muhammad hakuhusu.
Mambo ya kitoto usipoyafanya utotoni basi utayafanya ukubwani,
Nadhani katika makuzi yako kuna stage fulani uliiruka utotoni ndio maana unaitumia hiyo stage sasa hivi ukubwani mwako,
Hujui wala unachokiuliza wala hujui unadiscuss nini? umebaki kuruka ruka tu kama Kangaroo!

Jitafakari wewe miaka inasonga mbele wala haitorudia nyuma,kukaa unazunguka jf kila siku na kuweka vikashfa vyako kwenye imani za wenzio hakuta kupa unafuu wowote katika maisha yako,

Ur mind is like a fresh garden,u can decide to grow weed or flowers.
 
Wewe kijana wa mudy usiye na hoja nijibu.

Unajua asili ya Maulid? Yaani birthday ya Muhammad Abd' allah mume wa mjane Khadija?
 
Wajinga sana hawa viumbe

Wala,co ktu cha kushangaa
Maana ndy kawaida yao
Hata trump hakukosea
Kuwakataza kuingia USA

Maana,wanawaza kuuwana tu
 
Jiulize kwanza hii Valantine day ni nini? Asili yake imetoka wapi? Pengine hata wewe unasherehekea kwa kufuata mkumbo tu bila kujua unasherehekea kitu gani..!!
Hakiha ulichokiandika mkuu kibamantiki, wengi humu hawajui chochote kuhusu hiyo siku, wanafuata tu upepo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom