mkubwa simba
JF-Expert Member
- Mar 8, 2013
- 284
- 207
Hahahhaha aisee watu mna maneno makali humu.... Full radhaWewe kweli punguani,upunguani wako unawaza udini tu,hivi unajua hata hii mada inahusu nini? Acha kujishaua na kujitia kimbelembele.
Hahahhaha aisee watu mna maneno makali humu.... Full radhaWewe kweli punguani,upunguani wako unawaza udini tu,hivi unajua hata hii mada inahusu nini? Acha kujishaua na kujitia kimbelembele.
Hivi mkuu wewe una akili timamu?Matusi yako wapi hapo?
Hii mada inahusu Valentine day,anaweza kuanzisha mada yake na kuuliza huo upuuzi wake,
Kifupi huyo kiumbe ni maarufu humu JF kwa kukashifu imani za wengine,wewe labda utakua humjui tu,hua hayupo tayari kueleweshwa bali kubishana na kukashifu,so kumuelewesha huyo kiumbe ni kazi bure tu coz lengo lake hua sio kufahamishwa,jaribu ku search comment zake humu JF ndio utaelewa ninachokizungumza.
Ameshajibu kwa hoja mujarab?Mkuu Sory mimi naimani unaweza kupangua hoja za jamaa hapo bira kuleta matusi,kama anachouliza sio sawa mpangue kwa hoja kwamba sio sawa na ni kwanini sio sawa"kwakufanya hivyo utakuwa umeuwa ndege watatu kwa jiwe moja.
Ni sherehe nzuri tuu ya kumuenzi Saint Valentine..Jiulize kwanza hii Valantine day ni nini? Asili yake imetoka wapi? Pengine hata wewe unasherehekea kwa kufuata mkumbo tu bila kujua unasherehekea kitu gani..!!
Fuatilia suit ilianza kuvaliwa wapi?, hushangai late Saddam Hussein alikuwa akivaa sana suit kuliko kanzu?.Wajinga sana hao watu
Na suti wasivae kwakuwa ni utamaduni wa magharibi.
Nazungumzia Official suit inayovaliwa karibu na viongozi wote wakubwa katika official events iligunduliwa huko Britain wakati ikiitwa Great Britain.Fuatilia suit ilianza kuvaliwa wapi?, hushangai late Saddam Hussein alikuwa akivaa sana suit kuliko kanzu?.
Hakuna watu wanaisherekea Valentines day vizuri kama Waislam...Mmi kama muislam siwezi kusherehekea shereh za kitwauluth
Mm binafsi,nq imman yangu cwez na wala sijawah kusherehekea shrehe hizo zakipuzHakuna watu wanaisherekea Valentines day vizuri kama Waislam...
Hii nchi ipambane na viwanda vilivyomo Pakistan vya madawa ya kulevya pamoja na ndoa za watoto. Hilo la Valentine day halina impact yoyote kwa taifa.
Tuwe wakweli wa nafsi zetu,na tuyaangalie yanayoambatana na na sherehe za siku hiyo. Utamaduni wetu ni kielelezo cha sisi kujitambua. Wanaopiga marufuku katika nchi zao,wanaona athari za yatokanayo na siku hiyo ya Valentine. Kwao wao,kila kiingiacho mjini SIO HALALI.Mm binafsi,nq imman yangu cwez na wala sijawah kusherehekea shrehe hizo zakipuz
Uwe unasoma comment na kuzielewa kwanza kabla kukurupuka? Wewe ulishakua ni kituko humu JF kwa hoja za kijinga.Hivi mkuu wewe una akili timamu?
Wewe umemwambia Musollin kuwa anajua maana ya Valentine au anafuata mkumbo?
Mimi nimekuuliza wewe unayesheherekea MAULID (Birthday ya Mtume Muhammad)
Je unajua asili yake? Wewe husheherekei kwa kufuata Mkumbo wa Wazazi na Waumin wenzako?
Usilete "VIOJA" jibu kwa "HOJA" .
Mbona siku ya Maulid huiiti ya kikafiri?Mambo ya kikafiri yakae mbali nami ingekuwa na umuhimu basi kesho watu wasitishe shughuli kama sherehe zingine
Sherehe ya maulid si ya kipuuz?Mm binafsi,nq imman yangu cwez na wala sijawah kusherehekea shrehe hizo zakipuz
Watavaa misuliWajinga sana hao watu
Na suti wasivae kwakuwa ni utamaduni wa magharibi.
Maulid naifaham na hata IDD pia,in moja ya sherehe halali zilizoruhusiwa kushrehekea katka Inman yetu ,plz usilazimishe nsherehekeeUwe unasoma comment na kuzielewa kwanza kabla kukurupuka? Wewe ulishakua ni kituko humu JF kwa hoja za kijinga.
Wewe kilaza kweli.Uwe unasoma comment na kuzielewa kwanza kabla kukurupuka? Wewe ulishakua ni kituko humu JF kwa hoja za kijinga.
Ukitaka kufikiria zaidi ya hapo ni kwamba hayo mambo hayafanyiki kwa sababu ya siku ya Valentine, ila kinachotokea siku hiyo ndio kile kilicho katika akili na mioyo ya watu. Siku zote ili upate tiba jua ugonjwa kwanza. Mawazo ya uzinzi na uasherati yaliyo katika vichwa vya watu hayazuiwi kwa kupiga marufuku siku kama hiziTuwe wakweli wa nafsi zetu,na tuyaangalie yanayoambatana na na sherehe za siku hiyo. Utamaduni wetu ni kielelezo cha sisi kujitambua. Wanaopiga marufuku katika nchi zao,wanaona athari za yatokanayo na siku hiyo ya Valentine. Kwao wao,kila kiingiacho mjini SIO HALALI.