Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Nchi ya Pakistani yapiga marufuku kusherehekea sikukuu ya Valentine nchini humo. Mahakama kuu nchini humo imetoa tamko, ni marufuku kabisa kusherehekea sikukuu hiyo hata media za nchini humo hazitakiwi kuizungumzia sikukuu ya Valentine kwanamna yoyote ile kwani kufanya hivyo ni sawa na kuunga mkono tamaduni za kimagharibi.
Je, mdau wewe umepokeaje katazo hili la Serikali ya Pakistan? Je ingekuwa hapa kwetu unahisi nini kingetokea?
Karibuni kwa mjadala
Chanzo: BBC Swahili
Je, mdau wewe umepokeaje katazo hili la Serikali ya Pakistan? Je ingekuwa hapa kwetu unahisi nini kingetokea?
Karibuni kwa mjadala
Chanzo: BBC Swahili