Pakajimmy...Ni Interneti yako au...?

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,725
Oooh...!
"Hongera Pakajimmy...Umekaza msuli mwaya"
"Unatumia Internet ya Ofisi au ya kwako binafsi...?"
"Maana kila tulogi-in na wewe upo tu..."

Hizo ndo Hongera na maswali mengine kadha ambayo

naendelea kuyajibu muda huu wote kwa njia ya PM!

Ngoja niwashirikishe wanajamvi wote,...ni kwamba

NIMEFIKISHA POSTS 1000 SASA HIVI!...Nipongezeni bana!
 
dah Hongera mkulu,

mbona hiyo PM imekaa kike kike hivi, au macho yangu? hongera zimeanza kwa ma SHE? LOL
 
dah Hongera mkulu,

mbona hiyo PM imekaa kike kike hivi, au macho yangu? hongera zimeanza kwa ma SHE? LOL

Ndo hivyo Mkuu! Nashukuru babaake!
Si unajua JEIEFU watu kibao!
 
Ahsante sana Mkuu wangu, Nyie ndo company yangu mlioniwezesha!

Napendaga comment zako sio ndefu hadi mtu unashindwa kusoma.Pia wewe sio mtu wa bandika bandua hata kama unaandika line moja inatoka kwenye akili na moyo wako.
 
Hongera sana Paka Jimmy...shukrani kwa michango yako maridhawa
 
hongera Tom, ninakuandalia ki Jerry cha zawadii.

Navipenda vidudu hivyo kishenzi!...Nina library kubwa ya picha zao...Thanx men, you guys keep my world spinning... bblessed too!
 
Napendaga comment zako sio ndefu hadi mtu unashindwa kusoma.Pia wewe sio mtu wa bandika bandua hata kama unaandika line moja inatoka kwenye akili na moyo wako.
Nguli nawe unakaribia kufikisha 1,000 posts. Lakini siku nyingi naona unaandika, mbona hazifiki? Kumbe mi naandika sana basi, nipongeze
 
Habari wakuu ! Kwa kipindi kadhaa nililazimika kutokomea kusikojulikana kutokana na sababu ambazo ziko nje ya matarajio. Nadhani kuna kundi fulani pia lilikuwa kimya humu kama mimi, but I'm back na wengine mtawaona wanarudi mmoja mmoja. Nimekuta mabadiliko kadhaa ikiwemo style ya avatar za Burn. All in all hongera sana PakaJimmy.
 
Mi nilipoona kimya nikajua Sinkala yuko busy na "Bi Harusi" si unajua tena,
 


Ha hahaa!
Ulikuwa bado Honeymoon Mkuu Sinkala?

Angalia hii mambo, ndoa MPYA ilivyo tamu utasahau ofisi na uanze kutafuta mchawi bureee!

Nashukuru mkuu kwa pongezi, tuko pamoja!
 
Haya chukua pongezi Paka!
Karibu ktk klabu ya wakongwe wanaoibukia!

Du...Bado naitwa wa kuibukia?

Mkuu Idimi basi mimi nilifikiri nimeshakuwa mkongwe hadi naweza kuhamisha milima ndani ya JEIEFU!...kumbe najidanganya!

Otherwise Thanx alot to you too, together we are!
 
Nguli nawe unakaribia kufikisha 1,000 posts. Lakini siku nyingi naona unaandika, mbona hazifiki? Kumbe mi naandika sana basi, nipongeze

Mkuu Hongera sana,

Mimi zitafika tu, ila nafikiri content matters most than the number of post, ndio maana nilimpongeza PJ kwa kufikisha post 100 zenye content nzuri.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…