Paka wa Muhimbili

Kati ya hao wanaovimba kuna ambao si halisi lakini wengine ni kiburi tuu
Kunasiku nilimfukuza mmoja alivimba Huyo na kunikoromea nikammwagia Maji ndio kwanza anazidi kutuna nashepu ya sura yake inazidi kunitisha nilitimua mbio nikaenda kumwita jirani yeye alikuwa mwanaume Alipo mfukuza maramoja tu alikimbia na hakuonekana eneo lile ila nilibaki na maswali kichwani kwanin amenidharau au kwavile nimwanamke
 
Kati ya hao wanaovimba kuna ambao si halisi lakini wengine ni kiburi tuu
Samahani kwa kuuliza maswali mengi ila hawa viumbe huwa wananikera sana
Kuna wale paka wanaolia nyakati za usiku na huwa wanapangilia sauti kama wanapiga kinanda au unakuta mmoja analia kama mtoto mchanga na mwingine kama mwanaume mwenye sauti nzito hawa nao niwa sampuli gan ?????
Ni kwanin vituko vya paka hawa utavikuta tu maeneo ya pwani la kini bara huwez kukuta paka wanamna hii????
 
Hilo halina ubishi hasa kwa wale tulio lazwa muhimbili kwa muda mrefu tumejionea mengi mno ya paka watu hao
 
hata bara wapo mkuu.kuna eneo nimejenga kibanda OYSTERBAY YA DODOMA najuta wenyeji hupaita"NIGERIA"kwa mbwembwe za mipaka
 
Mkuu mshana jr vipi kuhisu paka na ndimu ningependa na kuomba kupata ufafanuzi kuhusu hilo
 
Pili pili ni sumu kubwa sana kwa paka ndio mana hazipendi nickama binadamu anavyotema mate akiona mavi hat kama hayanuki
 
Ukiwapa ndimu wanakuaje
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…