Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,167
- 1,079
wa Muhimbili hawaliMbona kuna siku pale mombasa ukonga nilikuwa nakula kitimoto ya kukaanga na ndizi zangu za kukaanga na soda pepsi baridi pembeni nilimpa paka kipande cha kitimoto akakipenda sana tena alikimbia nacho kwenye kona akawa anakula ili asisumbuliwe, wanakula kiti moto!
Mithing u mtani wanguKweli watu mna 'knowledge'.
Duh!wa Muhimbili hawali
Mbona kuna siku pale mombasa ukonga nilikuwa nakula kitimoto ya kukaanga na ndizi zangu za kukaanga na soda pepsi baridi pembeni nilimpa paka kipande cha kitimoto akakipenda sana tena alikimbia nacho kwenye kona akawa anakula ili asisumbuliwe, wanakula kiti moto!
Umenipa homework ngoja kukuchePaka halisi ile kitu kwake haramu
ukiwapa ndimu inakuaje?Hafu ukuje kule
Nko na ndimu yangu hapa kitandani! Kumbe nimekaa na kinga bila kujuaMchawi na ndimu ni vitu tofauti kabisa