Paka wa kizungu

Executor

JF-Expert Member
Sep 29, 2014
867
990
Habari,

Kuna mtu mwenye kufuga paka wa kizungu? Tafadhari naomba tuwasiliane nahitaji mdogo kabisa mmoja.

Shukran!
 
kuwa makini na paka mara nyingi hutumika kama drone za kichawi haijalishi ni wakienyeji au mulatto
Wacheki hawa Pets supplies tz
Screenshot_2023-10-24-18-27-48-287_com.instapro.android.jpg
 
Back
Top Bottom