PAKA SHUME AMECHINJWA JAMANI!!! Balaa Gani HII

this very sad..yaani huyu anajukumu mpaka cku ya malipo..hawa ni viumbe na wanasikia maumivu...angejaribu yeye kwake 2 kujichinja kidoleni,halafu ackilizie maumivu..may god provide great punishment for who did this and otherz who are going to do it..

Mh!!
jamni vipi kuhusu Ngombe, kuku, mbuzi, wale wa iringa Mbwa? wachina Mbwa, nyoka, wale wa pwani samaki? hayo sio mauaji pia?
 
Binadamu ni mnyama katili kuliko wanyama wote dunia maana yeye hufanya ukatili ama huua kwa kufurahisha nafsi yake tu.
 

<TABLE style="TEXT-ALIGN: center; MARGIN-LEFT: auto; MARGIN-RIGHT: auto" class=tr-caption-container cellSpacing=0 cellPadding=0 align=center><TBODY><TR><TD style="TEXT-ALIGN: center"> </TD></TR><TR style="FONT-FAMILY: Arial, Helvetica, sans-serif"><TD style="TEXT-ALIGN: center" class=tr-caption>Paka </TD></TR></TBODY></TABLE>
 
Huyo jamaa aliyeshika kichwa anatisha kinoma.huu ni ujinga,huyo paka kawafanyia ubaya gani?
 
CAT1.jpg


Toka ni mweke PAKA SHUME, jamani MAPAKA yamekuwa yakichinjwa kila siku. LOLZ
Dah!!!
 
jamaniii...inawezekana wala sio habari za kishirikinaaa,kitoweo cha watu hichoo,uwoni majamaa kama wanywaa zile pombe ngumu kumezaa,then kitu kinapigwaa supu
 
Ni wapi hapo?, na hao ni akina nani?, nini nia yao?.
...hawana hela ya kununua nyama ya ng'ombe buchani wameamua kumpiga kisu paka...Kwani hamkuwahi kumsikia yule jamaa aliyewahi kuhojiwa na Couds FM kuwa amekuwa akiuza mishikaki ya mbwa kwa almost Mwaka? wateja kibao na watu wanasifia nyama iko poa!!
 
Back
Top Bottom