Mishikaki ya 200 mnatiaga nini jamani 😋wachoma mishikaki nipeni siri

Nengay

Member
Aug 26, 2022
39
65
Kuna hii mishikaki inauzwa Mida ya jioni 200 jamani ni mitamu sijui wanatiaga viungo gani nyie na ile pilipili yake 😋😌😂

Kuhusu suala la nyama me selewi ni nyama ya nini kuna watu wanasema ni ya mbwa mara paka jamani naomba tu kuwasilisha kama ni nyama ya viumbe hivi ni watamu kwa kweli 👌niambieni ivo viungo please.

maxresdefault.jpg

Nina pesa we acha tu,

Naweza kukulisha mishkaki mwaka mzima
Jumla ya gharama za kumlisha mishikaki kwaka mzima ipo kama ifuatavyo.
Week inasiku 7 = [200×7=1,400]
Mwezi mmoja unasiku 31 au 30=
[200×31=6,200]
Mwaka mmoja unasiku 365=
[200×365=73,000]
Hivyo basi gharama kuu ya kumlisha huyo Jamaa mishikaki mwaka mzima ni 73,000 tuuuu.kwahiyo hizi pesa unazosema unazo na unaweza kumlisha mishikaki mwaka mzima ni pesa ya mboga tuu mkuu
 
Hawezi shiba mmoja wa 200, piga hiyo 73000 mara 20 au 30
 
Kuna hii mishikaki inauzwa Mida ya jioni 200 jamani ni mitamu sijui wanatiaga viungo gani nyie na ile pilipili yake 😋😌😂

Kuhusu suala la nyama me selewi ni nyama ya nini kuna watu wanasema ni ya mbwa mara paka jamani naomba tu kuwasilisha kama ni nyama ya viumbe hivi ni watamu kwa kweli 👌niambieni ivo viungo please.

maxresdefault.jpg

Umekula Msamvu? Kama ni hapo hiyo ya kenge
 
Jumla ya gharama za kumlisha mishikaki kwaka mzima ipo kama ifuatavyo.
Week inasiku 7 = [200×7=1,400]
Mwezi mmoja unasiku 31 au 30=
[200×31=6,200]
Mwaka mmoja unasiku 365=
[200×365=73,000]
Hivyo basi gharama kuu ya kumlisha huyo Jamaa mishikaki mwaka mzima ni 73,000 tuuuu.kwahiyo hizi pesa unazosema unazo na unaweza kumlisha mishikaki mwaka mzima ni pesa ya mboga tuu mkuu
Hahahaaa..... Watu mna vituko.
 
Kuna hii mishikaki inauzwa Mida ya jioni 200 jamani ni mitamu sijui wanatiaga viungo gani nyie na ile pilipili yake 😋😌😂

Kuhusu suala la nyama me selewi ni nyama ya nini kuna watu wanasema ni ya mbwa mara paka jamani naomba tu kuwasilisha kama ni nyama ya viumbe hivi ni watamu kwa kweli 👌niambieni ivo viungo please.

maxresdefault.jpg

Mh iyo mishikikaki nilikuwa na njaa sana siku hiyo nikawa natafuta cha kula nikaona mishakaki na ndizi posta hapo nikasema nikanunue nikauliza bei nikaambiwa 200
Duh nikastuka nikaondoka haraka sana sijawai kula na siwezi kula kwaza ni uchafu tu ule nasikia ni malonya lonya yanayo baki ng'ombe akichinjwa
 
Unavyoelezea jmn malonya lonya ndio nn
 
Back
Top Bottom