PAKA SHUME AMECHINJWA JAMANI!!! Balaa Gani HII

PAKA SHUME AMECHINJWA JAMANI!!! Balaa Gani HII

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
CAT1.jpg


Toka ni mweke PAKA SHUME, jamani MAPAKA yamekuwa yakichinjwa kila siku. LOLZ
 
Imani potofu zimemgharimu huyu mnyama maisha........Sikitisha sana :-( !
 
Kuna watu wana roho ngumu jamniiii:mullet::mullet::mullet:
 
itachukua mda mref sana kwa wanadamu kuachana na imani za kishirikina
 
itachukua mda mref sana kwa wanadamu kuachana na imani za kishirikina

Sure!
itachukua muda mrefu sana kwa wanadamu kuachana na imani za kishirikina,na ama kwa hakika zinapelekea mambo mengi ya ajabu na kutisha kutokea kwenye uso wa dunia.
 
Ni wapi hapo?, na hao ni akina nani?, nini nia yao?.
 
Iman potofu hizo.Kwel akilia bundi ni mkosi ila akilia njiwa ni neema.

Siungi mkono shughuli nzima hiyo hapo, kama unaweza jadili "imani potofu" unatumia kipimo gani kujua usahihi wa imani?
 
this very sad..yaani huyu anajukumu mpaka cku ya malipo..hawa ni viumbe na wanasikia maumivu...angejaribu yeye kwake 2 kujichinja kidoleni,halafu ackilizie maumivu..may god provide great punishment for who did this and otherz who are going to do it..
 
Sijui ndo wanatafuta nini kwa huyu kiumbe!!
Au wanakula nyama yake labda!!!
 
Back
Top Bottom