Dunia hii haishi maajabu paka kwa jina la Manny anayepiga selfie muda mwingine akiwa katika pozi la peke yake au na wanyama wengine.
Paka huyo wa mji wa Arizona ameweza kujizolea umaarufu mkumbwa kwenye mitandao wa kijamii kwa kuwa na page yake instagram @yoremahm) kwa sasa ana zaid ya130,000 followers. Na post yake ya mwisho ilikimbiza zaidi ya likes 14000 kwa siku moja.
Mmiliki wa paka huyo ameiambia Kituo kimoja cha Habari Kiitwacho ABC news kuwa paka huyo"probably the most intelligent, inquisitive cat"yeye na mkewe nikitu ambacho pia kimewashangaza sana.
Pia alipoulizwa zaidi ni kwa vipi anaweza kufanya hayo na je kuna mtu anakuwa nyuma ya kamera? Au ni inategwa mahali? Yote aliishia kwa kusema kuwa ni siri..