Pajue Iringa kwa kupitia picha

P
Kwa tako sijapaona nimekula Ice cream pale sana nikiwa mtoto. I wish pia kuiona Tosamaganga kwasasa inafananaje. Huu mkoa nina historia nao sana. Nimesoma na kuishi Iringa. Ahsante Mkuu, vipi na mmea mnalim
Picha zaidi zitawajieni kwasasa nimeanza ni hizo
 
Kaka jana uniliringishia mno tena nikiwa job kabisa , leo nakula vitu halafu siku inayofuata nipo off😅😅
Hongera sanaa,Jana Nilienda home na punch apple nimechanganya konyagi.

Weka kwenye fridge wife kaionja anakuja nifokea.. nikamwambia aache kiherehere akaenda imwagaa..

Saivi ntakua siendi nazo home.
 

Namna ulanzi unavyogemwa ( unavyovunwa /patikana ) mkoani iringa ,, mti utoao ulanzi unaitwa mwanzi na wingi wake ni mianzi hicho kifaa kinachoning'inia ni sehemu ya mwanzi iliyokatwa na kutengenezwa kitaalamu kabisa kwa ajili ya kukinga ulanzi toka kwenye mwanzi mchanga ( mwanzi ambao hujakomaa vizuri ) na kifaa hicho kwa hapa iringa ni maarufu kama " mbeta "
 
FACT
 
Hizo picha ungeziweka kwenye uhalisia wake ningekubaliana na wewe ila hapo naona picha zote ni edited full marangi fake Ili ipendeze sio?
 
Nisawa unachoeleza,ila ukilinganisha na Njombe,Ir walichelewa uwekazaji wa mahotel ya watu binafsi km ulivyowataja hapo.
 
Hapa pana ukweli. 😁😁😁
 
Hizo picha ungeziweka kwenye uhalisia wake ningekubaliana na wewe ila hapo naona picha zote ni edited full marangi fake Ili ipendeze sio?
Ntajaribu kupost na video ,, pengine utapata nafasi nzuri zaidi ya kuona uharisia wa huu mkoa
 
Umesahau picha za uswahilini mkuu
 
Nimefika Wakwetu...
Kyo' amba kuda?
Mno wa kwetu kuna kenge hawajui mchango wetu kama chadema , na kuna wachaga wa hovyo kabisa kama kina mrema wa chadema , hao ni kenge , wasio wajua wanaona wana pesa hili
Li naumiza sana, mrema yule kenge wachadema wasaliti ana pesa gani?
 

Mtaa wa uhindini (uwindini ) moja ya mtaa maarufu sana ,, Iringa mjini



Upande wa pili wa mtaa wa uwindini ukitokea soko kuu la iringa
Msikiti wa shia ismailli ,, moja ya msikiti maarufu unaopatikana mtaa wa uwindini ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…