Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Hongera mwalimu, tumia huu mtandao wa kijamii kufungua akili zetu .Napenda sana jicho la tatu kwani mambo mengi siyajui, nilifikiri ukisali sana ufalme wa Mungu utauona, kumbe kuna jicho la tatu. Hivi wachawi wanatumia jicho la tatu ?
 
Tahajudi ndio njia pekee ya kufungua jicho la tatu na si kuwa unaamua kuwa sasa unataka kutumia ni kitu inbuilt
Sasa kaka hii tahajudi tuna ifanya vipi so that we can benefit on this jicho la 3 please fafanua nime hamasika sana nahili swala
 
Daaaaah..nashukuru sana braza kwa kuleta udhi huu..binafsi nimekuwa mtu ninaefuatiia mambo makubwa sana hata yale ambayo sina uwezo nayo..kitu kikubwa kinachonisukuma ni kutaka kujua kwanin hawa illuminant na freemasonry wanavolitumia jicgo la tatu katk kuona mbali...kiukweli wale jamaa wanauwezo wa kusense kitu kitakachotokea hata miaka mia moja ijayo kwa kutumia taswira angavu yenye uwezo ya kuyajua mawazo yako hata kabla hujaamua jambo..ndio maan waliowengi waliokatka mtandao wa freemasonry na illuminat wanapogundua kuwa wapo katika njia mbovu yenye laana kubwa badae wakitaka kutoka kundini wanakufa mapema hata kabla ya kutimiza ndoto zao za kujikomboa katika ukanda wa satarnic worship ....nitawaeleza kwanini hii inatokea....kwanza kabisa ikumbukwe kuwa mwanadamu unapozaliwa ,hekia yako,ufahamu na maalifa yako yote yapo controlled under pineal gland located near the base of pituitary gland...this is the mainly gland the control circadian rythm withrespect to body morphology under specific objectives to bring the body at any deviated conditions....hii tezi(pineal gland) ndiyo inayoatoa vichochezi maalumu vinavoamsha hali ya meditation in relation to will power to do something....lakin rate ya utoaji wa hormens hizi hupunga kadri umri unavozid kwenda...nikimanisha kuwa mtoto mdogo anareceive high input on neuroawerenes kuliko mtu mzima simply bcoz your pineal gland stimulation is minimumly to decline....yan upeo wa jicho angavu la 3 hupungua zaid kuliko hali yake na kadri pineal gland inavotoa stimulation za kutosha ndipo neurofunction inkuwa kubwa sana in relation to mind and will power....yan inasemekana mtoto ndgo anaupeo mkubwa wa kusense hata mapepo kuliko mtu mzima kwan neuroinput ni kubwa kwake kuliko mtu mzima.

Ndo mana kuna wakatimwingine mtoto anaweza lia usiku wa manane kuashiria danger cituation lakin kwa kuwa mtu mzima unareceive low pineal gland input ndo manaa will powee inakuwa ndogo katika kjua nyakati na majira mazuri na mabaya....

Katika utafiti huo uliofanywa na illuminant katka kuicontrol dunia(watu) ni pamoja na kuzuia au kutokomeza kabisa uwezo wa kuamsha hisia za uwezo wa jicho la tatu la mwanadamu linalomuwezesha kujua nyakati na majira yaliyokatika nuru na giza ..
Wamekuja na mpango wa kutokomeza uwezo wa kusisimua uwezo wa pineal gland kutoa vichocheo vinavyoliwezesha jicho la tatu kuona mbali..ndo mana illuminant wanalitegemea kama taaa imulikayo mbali katika kufanya maamuzi yao....

Wamebuni ni sumu gani watakayompandikizia mwanadamu ili iweze kupunguza uwezo wa kuamsha hisia za jicho la tatu...??

1.) Wamegundua kuwa sumu iliyopekee kuwa na uwezo wa kushambulia kwa kasi pineal gland ni FLOURIN and CHLORINE FREE RADICALS..ambazo ndio sumu hatari sana katka kutokomeza hali hiyo..free radicals ni sumu ambazo huzuia hormones au utendaji kazi mzuri wa pineal gland mwilini hivyo bas vikiwa vinaingizwa mwilini kila siku vitaharakisha kuzuia au kukata kabsa the release of SEROTONIN HORMONES ambazo ndio kiini cha usingizi na MEDITATION KATIKA MAISHA YA MWANADAMU...kama mtu atakosa vichocheo hivyo hakika hataweza pata usingizi utakaopelekea kuamsha hisia za uwezo wa jicho la tatu....ndo mana kadri unavozidi kuwa na umri mkubwa ndipo mudawa kulala unapungua zaidi( unachelewa kulala lakini pia unawahi kuamka) ni tofaut na watoto wadogo...so FLOURIN na CHLORIN FREE RADICALS zimewekwa katika dawa za meno ambazo kila mwanadamu anakla kila siku..ndo mana kizazi cha sasa hivi uwezo wa kufikiri unapungua simply bcoz of free radicals flourin and chlorin...ndo mana watalamu wanasema unapopiga mswaki usimze dawa ile..wana maana yake japo its so sectet to rescure few people..

2.) Wanatumia mionzi ya simu,x rayz na mionzi mingine kupiga katka pineal gland ili kuharibu serotonin production ambayo ndio msing mkubwa wa kuamsha jicho la tatu ambalo ndio KIINI CHA KUJUA SIRI ZOTE ZA TECHNOLOGY YOTE NA HATA UWEZO WA KUJUA MAMBO YOTE YALIYO KATIKA NURU NA GIZA..upungufu wa utendaji kazi wa pineal gland unamfanya mwanadam awe na uwezo mdogo sana wa kufikiri mambo makubwa...ukitaka kuaminin jaribu kujiuliza hivi ni kwanini kadri siku zinavozidi kwenda uwezo wa kufikiri wa mwanadamu unapungua lakini discoveries zinaongezeka..??

Technology inakuwa kwa kasi simply becouse operators wanatumia jicho la tatu under ALLIENS TECHNOLOGY IMPLANT inayotumia jicho la tatu..mwanadamu anafanya kazi ya kuasemble vifaaaa tu na sio kutengeneza....

That is the big secret kwa wachache lakini ila tuliowengi hatujui how technology inversion inavokuwa....

So my dear brothers and sisterz kuna umuhimu mkubwa sana wa kujua kulitumia jicho la tatu yan ukiweza thibit upotezo wa nguvu za kuliamsha jicho hilo hakika unaweza ukajihisi kuwa wew ni nabiii kumbe ni namna ulivoweza thibit impacts of free radicalson your pineal gland.....

ZIJUE NYAKATI NA MAJIRA KATIKA KUUTAMBUA ULIMWENGU LAKINI HAKIKA HAUTAWEZA MPAKA UJUE NAMNA JICHO LA TATU LILIVYOKUWA NA UWEZO WA KUKUPA UWEZO HUO..

..AMINAAAA
Kaka wewe naona ulilijua hili na mengine mengi kitambo nivizuri utuelimishe zaidi tuwe wengi usiikalie elimu kaka tusaidie tufungue macho ...what is ur suggestions on this problem
 
AnayetK kufungua jicho la tatu video hii hapa imesaidia wengi sana kuona na kusikia ulimwengu usioonekana. kaa sehemu tulivu kusiwe na sauti nyengine yoyote kisha sikiliza muziki unaolia kwa hisia huku ukitazama. jaribu kuimagine kuna kitu katikati ya paji la uso kinataka kufunguka na kuna mwanga unaingia ndani yake ili hicho kitu kifunguke


ulishajaribu kufanya hivyo? ulifanikiwa?
 
Sasa kaka hii tahajudi tuna ifanya vipi so that we can benefit on this jicho la 3 please fafanua nime hamasika sana nahili swala
Tahajudi ina faida nyingi sana kimwili kiafya na kiakili na kiroho pia
 
Kama haileti pesa basi haimake sense.

Nilekeze kumake mkwanza kwa ilo jicho kulitambua tu haitoshi .......

By Bangi za chooni
 
The truth shalt set you free...
f6570a3c9814d3acf5740809728a5571.jpg
 
Back
Top Bottom