Paji la uso na siri ya jicho la tatu

Unaenda vizuri mbona endelea usiache mengi yatakutokea lakini usiache
Mr mshana mimi pia huwa napractice meditation bt sioni mafanikio. Ninapokuwa deep kwenye kupractice huwa najihisi mwili unasisimka na raha fulani hv inayotaka kufanana na ile ya mtu anapotaka kufika kilekeni wakat wa tendo la ndoa..
 
Unaendelea vizuri sana mbona?
 
Unaendelea vizuri sana mbona?
Poa. Ngoja nikazane. Vipi na muda mzuri wa kufanya ni upi?? Manake nimeona maelezo yako juu kuwa mtu ukilala chali usiku kuna nguvu ya uvutano na wachawi. So nikifanya meditation ya kulala chali muda wa usiku wa manane italeta uvutano na wachawi???.
 
Muda mzuri ni kabla ya kulala ama alfajiri
 
IMG-20170609-WA0020.jpg
 
AnayetK kufungua jicho la tatu video hii hapa imesaidia wengi sana kuona na kusikia ulimwengu usioonekana. kaa sehemu tulivu kusiwe na sauti nyengine yoyote kisha sikiliza muziki unaolia kwa hisia huku ukitazama. jaribu kuimagine kuna kitu katikati ya paji la uso kinataka kufunguka na kuna mwanga unaingia ndani yake ili hicho kitu kifunguke

Ni elimu tosha, nilikariri tu kuhusu tan na cos, aliyegundua huo mchezo ina maana jicho la tatu linamulika sana. Samahani Mshana fani yako ni ipi? (professional) mara nyingi unatoa hoja zenye utafiti wa kina. Hata nguvu za giza unazifanyia utafiti. All the best
 
To some extent yeah...! Hata sasa nayaona mambo mengi tofauti na wengine waonavyo kuna wakati huwa najistukia na kukaa kimya nikiogopa kuonekana tofauti
Unaona kama vile nini kaka jr ..?au una ongelea kua na mtazamo tofauti na watu wengine ? Katika mambo mbali mbali ?
 
Ni elimu tosha, nilikariri tu kuhusu tan na cos, aliyegundua huo mchezo ina maana jicho la tatu linamulika sana. Samahani Mshana fani yako ni ipi? (professional) mara nyingi unatoa hoja zenye utafiti wa kina. Hata nguvu za giza unazifanyia utafiti. All the best
Asante kiasili mimi ni mwalimu
 
Back
Top Bottom